Elections 2010 Kwa nini Michuzi aling'aka ailipoambiwa anapigia kampeni CCM?

Bwana Issa Michuzi alitoa maelezo marefu kuwa yeye hafungamani na upande wowote ingawa asilimia kubwa tunamjua ni kibaraka wa CCM ,informer fulani wa usalama .

Sasa hivi iko dhahiri kuwa anapigia debe CCM Kupitia blog yake ,Kuna CD ya JK 2010 anatangaza kwenye blog yake anauza na pia kama unataka kuwekewa milio ya simu ya JK ati usasiliane naye.
Kama mtu yeyote yule ana uhuru wa kuwa na chama chochote ni haki yake ila kwa nii aligoma at the first place na kuandika waraka mrefu kukanusha na kung'aka.

Ambao mlikuwa mnashangaa kwa nini taarifa za Chadema na mikutano yao inachelewa kuwekwa au haiwekwi kabisa hope jibu ndio hilo,huyo bwana ni kada wa CCM A.K.A mafisadi .Kwa hiyo ana sababu zote za kuwa baised ,habari za CCM hata ki halfa kidogo ,kura za maoni faster anaweka,ukiuliza chadema au vyama vingine unambiwa hii blog yeyote anaruhusiwa ku post alaaa ndio iko hivyo!!

Huyu ni kibaraka toka muda mrefu sana. Hana uchungu na nchi, anafurahia kuona nchi inateketea ili mradi na yeye anajaza tumbo lake. Na ni mnafiki mkubwa.
 
naona leo kaweka habari za chadema,inaelekea ujumbe umemfikia...BIG UP JF,semeni bila kuogopa!watabadilika tu!
 
ukitaka mambo yako yakunyokee jiunge na ccm - mzee rukhsa

Hayo sio maneno ya Mzee Ruksa unamsingizia, hayo maneno yalitamkwa na Sumaye huko Moshi wakati Ndesamburo anawatoa kamasi CCm wakati wa kugombea ubunge!!
 
"mnasahau yaliyomkuta Mrema".

Haya Maneno umeyarudia mara nyingi hadi yanatia kinyaa sasa. Au ndiyo unafanya "barain washing" kwetu tuanze kuamini kwamba Dk Slaa na Mrema wanafanana??

Hivi unawezaje kuwafananisha Dk. Slaa na Msanii wako unayemtumia kutolea mfano??
 
Sitaki kumtetea Michuzi wala CCM. Kama sikosei yeye alisema hao vyama vingine mfano CHADEMA na wengineo hawana njia ya kufanya publicity ya vyama vyao na shughuli zao. Wao wanahisi kila mtu atawafuata. Asilimia karibu 98 za habari za CCM kwa Michuzi zinatumwa kwake, na hao wa CHADEMA mpaka aende mwenyewe (mfano siku Mbowe kamtangaza Dr Slaa kuwania Urais) yaani hata video aliweka.

Halafu wewe Mutu inaonesha umetumwa ama una chuki binafsi na Michuzi ambaye wala halipwi na wewe wala nini. Wewe umemkazania kuwa ni kada wa CCM kwani tatizo liko wapi? Hivi kuwa mjanja ama mtu sawa lazima mtu uwe CHADEMA.

Mnamfagilia Dr Slaam mnamkumbuka Mrema na NCCR yake alivyokuwa anasomba watu na siku ya siku ikawaje? Mnamkumbuka Nyerere aliwaambia watu Jangwani pale kama mtu anapenda kubebwa kama maiti mwacheni sio kosa, Dr Slaa kwa lipi hasa?? Hayo madesa ya EPA na RICHMOD ambayo tumeshachoka kusikia (hamna mengine) mbona yeye hatuzungumzii alivyotemwa na kanisa? Mnataka tumwage mtama hapa??

Nyie CHADEMA wachache wenye njaa msio ne kuwa CCM ni dhambi. Dhambi iko katika kuongozwa na NGO ya ukoo inayoitwa chama cha siasa. Upumavu tu umewajaa. Mumkome Michuzi wa watu.

Nimesema kuwa kila mtu ana uhuru kuwa na chama chake ila ilikuwaje aligoma wakati lilikuwa dhahiri hilo ndilo swali dam huelewi nini.
Kuhusu njaa mimi nadhani ma kada wa CCM ndio wanaendekeza njaa kwa kuwa wengine wanaona kabisa CCM yanuka ila kuwa kada na yeye mkono unaenda kinywani mfanye nini njaa mwanaharamu bwana.

Ok next mno mtetea wote sijuhi ni majuha maana mwenyewe kashatoa batiko lake la ku mpigia debe JK na kuwawekea wake ring tone za JK yaani watu kwenye wamnazo mtu kabisa kidume unaweka mlio wa maisha bora baada ya upuuzi wote wa serikali ya mkwere.
What tumukome Michuzi mbona una sound like Mombasa W.H.O.RE.
By the way Michuzi ni muelewa kwa kutoa ile kitu kwenye blog yake.Na pia kwa kuweka habari za vyama vingine leo kwa mradi huo watu wengi watakuwa wanatembelea blog yake maana watu watajua hata kama yeye ni CCM anaweka wabari zote bila upendeleo .
 
Wewe kweli ni *****, ulikuwa na ulazima gani kufungua thread nyingine ilhali hii ipo?

You smell like british G.A.Y and in other hand like American L.E.S.B.I.A.N .
Kujibu swali lako haikuwa lazima hata kidogo sikuona ila sikuona hiyo nyengine,hope Mod ataziunganisha.
And another thing you look nasty with the dam green thing,again ndio uhuru ila I just what to let you know green inakumbusha watu uovu mwingi ....kinyaa.
 
Najua hili suala la MICHUZI kutoku-post habari za vyama vya upinzani limejadiliwa sana hapa Jamii Forums.Najua wengi wengi wetu hapa hatumuamini MICHUZI hasa inapofika katika kutoa habari za siasa bila upendeleo.

Pendekezo langu hapa ni moja,kwa kuwa MICHUZI ni moja ya blog ambazo zinatambulika na sehemu kubwa ya Watanzania walio nyumbani na ughaibuni na kwa kuwa kimekuwa moja ya chombo muhimu cha kupashana habari napenda tutafute namna ya kuwasiliana na MICHUZI ili aweke tamko kwenye blog yake juu ya msimamo wake kuhusu kuweka habari za siasa bila upendeleo hasa wakati huu tunapoelekea uchaguzi mkuu.

Najua BLOG ni mali yake binafsi lakini blog si kitu kama yeye mmiliki hajaribu kukidhi haja za wasomaji wa blog yake.
 
Yuko kwenye msafara wa Kikwete Press 2010

Hata akiwa kwenye msafara wa Kikwete. Mbona huwa akisafiri nje ya nchi bado blog inakuwa updated na habari za nyumbani?
Ana vijana anaofanya nao kazi.

Anaudhi sana Michuzi. Halafu kama mfanyakazi wa serikali anavaa na kupiga picha na vitambulishi vya CCM -picha aliyoweka akisema ni birthday yake, yuko Kigoma, amevaa cap ya CCM.

Ajitokeze tu wazi na kusema kuwa yeye ni kada na mwanachama wa CCM, kwani dhambi?
 
Mambo mengine zanafurahisha sana
Mbonayeye MICHUZI hajafanya delegasheni kuileta jf kwamba, mbona jf haiibani chadema? teh teh teh
 
Do you ever take Michuzi seriously??? Waandishi wetu wengi Bongo wameshakubali kufanywa lolote in the name of bank notes!! Open your eyes and see....kutoka Tv, mpaka Magazeti, wanaosimamia ukweli wamebaki wachache mno! Mashindano ni kutoka!!
 
Hata akiwa kwenye msafara wa Kikwete. Mbona huwa akisafiri nje ya nchi bado blog inakuwa updated na habari za nyumbani?
Ana vijana anaofanya nao kazi.

Anaudhi sana Michuzi. Halafu kama mfanyakazi wa serikali anavaa na kupiga picha na vitambulishi vya CCM -picha aliyoweka akisema ni birthday yake, yuko Kigoma, amevaa cap ya CCM.

Ajitokeze tu wazi na kusema kuwa yeye ni kada na mwanachama wa CCM, kwani dhambi?
Ndiyo maana nimesema yuko kwenye msafara wa JK ( double entendre)
 
Kuna blog nyingi za kusoma.
To hell with Michuzi. After all yuko kwenye blog ignore list yangu.
Huwa sipotezi muda wangu kwenda kule unless mtu anipe reference. Najua nitakuwa mambo ya bwana zake yamebandikwa kule. Sina muda wa kupoteza.
Bora nije hapa JF nikutane na Malaria sugu na kanda2 kuliko kupoteza muda wangu kwenda michuzi blog
 
Najua hili suala la MICHUZI kutoku-post habari za vyama vya upinzani limejadiliwa sana hapa Jamii Forums.Najua wengi wengi wetu hapa hatumuamini MICHUZI hasa inapofika katika kutoa habari za siasa bila upendeleo.

Pendekezo langu hapa ni moja,kwa kuwa MICHUZI ni moja ya blog ambazo zinatambulika na sehemu kubwa ya Watanzania walio nyumbani na ughaibuni na kwa kuwa kimekuwa moja ya chombo muhimu cha kupashana habari napenda tutafute namna ya kuwasiliana na MICHUZI ili aweke tamko kwenye blog yake juu ya msimamo wake kuhusu kuweka habari za siasa bila upendeleo hasa wakati huu tunapoelekea uchaguzi mkuu.

Najua BLOG ni mali yake binafsi lakini blog si kitu kama yeye mmiliki hajaribu kukidhi haja za wasomaji wa blog yake.

Unasema kwamba Michuzi ni bias on the news; sasa na wewe mwenyewe pia ni bias. Angalia kichwa cha habari chako "habari za CHADEMA" kwani Chadema kipo peke yake? Don't judge others; before you look at yourself.
 
Akiandika habari za CHADEMA,hawezi kupata trips za nje!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Ni ulaji tu Bongo.
 
Hii kitu tulishaijadili hapa ,blog nyingi sana siku hizi so kama alivyosema Mchukia Fisadi forget about michuzi usiende kabisa kumuongezea idadi ya visitors kwa kuwa ni mnafiki .
Kuna watu wameweka wazi kuwa wao wako upande gani ,ila wanafiki bado kuweka wazi ndio wakina michuzi.
Ila cha kusikitisha kuwa news ni news hata kama mtu ni shabiki wa chama fulani ok ila **** uko kwenye news industry tungependa kuchua habari hata za wapizani wako.
 
Tusikimbilie kulalama lalama tu kabla hata hatuja fanya uchunguzi wa kuotosha kuna picha za kumwaga hapa

Michuzi ni chombo binafsi na atafanya kazi zake kulingana na kile anachotaka lakini pia amekuwa msaada mkubwa sana katika kuleta mapinduzi ya habari hasa kwa njia ya mtandao, post anything to michuzi blog and you will see it in one or two days.

So far Kampeni za Chadema zimeanza leo tusingetegemea kuona habari ya CHADEMA before

Mnakuwa kama CCM AHMADA bwana!!!!!
 
Tusikimbilie kulalama lalama tu kabla hata hatuja fanya uchunguzi wa kuotosha kuna picha za kumwaga hapa

Michuzi ni chombo binafsi na tafanya kazi zake kulingana na kile anachotaka lakini pia amekuwa msaada mkubwa sana katika kuleta mapinduzi ya habari hasa kwa njia ya mtandao, post anything to michuzi blog and you will see it in one or two days.

So far Kampeni za Chadema zimeanza leo tusingetegemea kuona habari ya CHADEMA before

Mnakuwa kama CCM AHMADA bwana!!!!!

CHADEMA sasa watakua kimyaaaaaaaaaa...kazi kukurupuka tu..oooh Michuzi haweki picha zenu..haya hizo hapo sasa!!! Mnataka kuongoza nchi hata hamna mpiga picha!!!
 
Michuzi namfahamu fika, kwa maoni yangu binafsi, hana ubaguzi ila nadhani kuna uwezekano hakuna yoyote anayempelekea habari za Chadema, hivyo kama hapelekewi, afanyaje?.

Hebu nyie wapenzi wa Chadema, mrushieni habari za Chadema muone kama hata zitoa.

Ila pia Michuzi nae nibinadamu tuu kama wengine, na kazi za uandishi wa kibongo nazijua fika na msoto wake pia naujua.
Wale waandishi wote ambao sio makini, waliobahatisha kwenye fani, ama wababaishaji, the only means za survival ni kujikomba komba kwa wenye nazo, inawezekana kujaa sana kwa CCM kwenye Michuzi blog, has something to do na survival ya ankal!.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom