kwa nini mawaziri wa kenya tu na sio kwingineko? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwa nini mawaziri wa kenya tu na sio kwingineko?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jile79, Sep 30, 2009.

 1. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #1
  Sep 30, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,374
  Likes Received: 3,137
  Trophy Points: 280
  Wana jf,nilishangaa sana kusikia kuwa baadhi mawaziri wa kenya ni marufuku kuingia marekani iwapo hawatatekeleza suala la utawala bora na kutekeleza sera zilizopo.......mshangao wangu ulikuja kutokana na kuilenga kenya tu kwa sababu zilizotolewa.....kwani mawaziri wa mataifa mengine kama tanzania wanatekeleza hayo yanayo tajwa? Mi naona kuna ajenda zaidi ya hiyo.......mawaziri wetu wanasaini mikataba nje ya nchi bado ni utawala bora.Ni haki kuilenga kenya tu................?
   
 2. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2009
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Mtu kwao mkuu - Kenya inamhusu Obama kuliko huko kwingineko. Hata Clinton alipokuwa madarakani alielekeza nguvu zake alikotoka (Ireland) hadi akina Sinn Fein na foe wao wakaingia kwenye line.
   
 3. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,374
  Likes Received: 3,137
  Trophy Points: 280
  these are one-sided minds................
   
 4. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #4
  Sep 30, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Inategemea activism ya mabalozi waliopo hapa kwetu; inaelekea wanadanganyika upesi sana na tabasamu ya muungwana!! Marekani na E.U wangetusaidia sana katika vita hii dhidi ya mafisadi kwa kuwapiga stop watu wote waliotajwa kuwa mafisadi wasiingie Ulaya na U.S.A; sehemu ambako ndio wameficha vijisenti vyetu walivyotuibia. Inabidi hizi balozi ziwe alerted kuwa kuna umuhimu wa kuchukua hatua hapa kwetu kama wanavyofanya huko Kenya ili kuinusuru jamii ya kidanganyika.
   
 5. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #5
  Sep 30, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hii ingesaidia sana, kwani hata gavana wa BoT asingeweza kwenda kutibiwa Marekani !!
   
 6. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #6
  Sep 30, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,374
  Likes Received: 3,137
  Trophy Points: 280
  sijui lama mkulu anaweza kukubali na kufanya hivyo maana u.s kwake ni kama kwenda kibaha....sasa nani wa kumvisha kengere mwenzake ndiyo tatizo..........we ukiwa mwizi huwezim kuwaambia wezi waache wakati wanajua nawewe ni mwizi....hali kadhalika kwa mkulu wa nji........
   
 7. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #7
  Sep 30, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,374
  Likes Received: 3,137
  Trophy Points: 280
  sure!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!ona sasa ushahidi wa mtu muhimu umetoweka hivi hivi tukiwa macho...................
   
 8. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #8
  Oct 1, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,374
  Likes Received: 3,137
  Trophy Points: 280
  siamini kama kweli hapa kwetu kuna utawala bora mpaka viongozi wetu wanaruhusiwa kuingia marekani kirahisi tu kama ilivyo kwa mkulu..................siamini........
   
 9. makoye2009

  makoye2009 JF-Expert Member

  #9
  Oct 1, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,646
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  Rais wa sasa wa Marekani ni Barack Hussein Obama mwenye asili ya Wajaluo wa Kenya.

  Hivyo basi ana kila sababu ya kuona kuwa haki inatendeka ndani ya nchi ambayo ni asili yake. Yawezekana kabisa kwenye machafuko ya uchaguzi Mkuu wa Kenya mwaka 2007 kuna ndugu wa damu wa Rais Obama walio athirika na vurugu hizo.

  Kwa hiyo mie sishangai kuona Marekani inawakomalia Wakenya kujisafisha kwanza ili wanapoenda Marekani kumwona mjukuu wao au mdogo wao wasiwe na ila yoyote ya kisiasa ambayo kwa namna moja au nyingine inaweza ika-tarnish good image ya President Barack Obama, jaduong!

  Makoye
   
Loading...