Elections 2010 Kwa Nini Matokeo ya Urais Pale Upinzania Unaposhinda Hayatangazwi?

Albedo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
5,559
1,452
Nimekuwa nafuatilia Matokeo ya Uchaguzi kupitia TV na Radio lakini kinachonishangaza ni Kwamba Katika majimbo ambayo CCM inashinda Matokeo ya Urais Yanawekwa wazi ila Kule ambako Upinzani Unashinda wanatangaza tu Ubunge Lakini Matokeo ya Urais hayatangazwi

Naomba Matokeo ya Urais

Mbeya Mjini
Iringa Mjingi
Moshi Mjini
Mwanza
Musoma Mjini
Kigoma

Mnaweza kuendelea

Huko tumetangaziwa Ubunge tu ila Urais hawajatangaza,

Je ni Strategy ya NEC Kuchakachua
 
Jamani naomba makada wa CHADEMA watuhakikishie kama kura za Dr Slaa ziko salama, vinginenvyo wadau na wapenzi wa mabadiliko ya kweli katika nchi hii watakatishwa tamaa.
 
Back
Top Bottom