Kwa nini matatizo vyuo vikuu tanzania hayatatuliki? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini matatizo vyuo vikuu tanzania hayatatuliki?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by JOMBAAA, Jun 15, 2011.

 1. JOMBAAA

  JOMBAAA Member

  #1
  Jun 15, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa sababu viongoz wetu si wasema ukwel,hawatekelezi haadi zao kwa wanafunzi.mfano. Udom waliaidiwa watakwenda fied lakini viongozi wamewadanganya. Hatima yake ni kuwarudisha kwa wazazi wao.kwel viongoz wa namna hii wanatufaa watanzania?
   
 2. W

  Wabo Member

  #2
  Jun 15, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  siyo vyuo vikuu pekee hata matatizo km umeme, umasikini , hayato isha sababu ni uongozi mbovu
   
Loading...