Kwa nini maoni ya katiba yasinge kusanywa ki kanda

DCONSCIOUS

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
1,269
473
Nashangaa kuona maoni ya katiba tume ita kusanya kwenye baadhi ya kanda hapa tanzania, madhara ya hii ni kuchukua maoni ya watu wenye matatizo ya ina moja dini ya aina moja na shughuri za uchumi za aina moja kwa mfano mikoa mingi ni ile ya pwani na Zanzibar wengi ni waislam na wengi ni wavuvi vipi watu wa Iringa ,Mbeya na Rukwa? Ambao ni wakulima na wakristo? Maoni yao yatawakirishwa namna gani?
 
Back
Top Bottom