Kwa nini manispaa ya iringa mnalegalega katika utekelezaji wa mipango ya maendeleo?


Y

yohana charles

Senior Member
Joined
Mar 21, 2013
Messages
134
Points
0
Y

yohana charles

Senior Member
Joined Mar 21, 2013
134 0
Ni kituko na daima nimekuwa sielewi tatizo liko wapi? tatizo ni mkurugenzi ama meya au madiwani au ni nini? kuna mambo mengi ambayo imekuwa inafanyika kwa kubeep au muda mwingine kutofanywa kabisa...kwa mfano barabara zilizo chini ya manispaa zimekuwa mbaya as if hakuna uongozi,..kuna mradi wa ujenzi wa stendi mpya ambao umekuwa unaongelewa tu bila utekelezaji..manispaa iringa mnatuboa..ibueni miradi na kuifanyia kazi,acheni siasa katika kazi za kimaendeleo..na nyie Madiwani na Meya wenu oneni aibu,fanyeni kazi,2015 is around the corner.!
 

Forum statistics

Threads 1,283,912
Members 493,869
Posts 30,805,854
Top