Kwa nini mahusiano na mabinti wa vyuoni wanakuja kuttukimbia mtaani!!baada ya shule

Umewahi kujiuliza hili?
Kuna asilimia chache sana sana wanaokuwa na urafiki mavyuonina kifuikia kuoana kama mume na mke
hii ni kwa wale wanaume walio mavyuoni sasa ya kufungua vichwa vyenu muwache kutumika kama sehemu
ya kuwapasisha mabinti...kumekuwa na katabia cha mabinti wengi sana sana wanakuwa na uhusiano na wanaume
lakini wakimaliza na kugraduate mahusiano mengi yanaishia siku moja ama wiki baada ya grdauation

je hii ni sababu gani ??nimekuwa nikijiuliza je ni sababu ya kusaidiwa wafaulu ama??je ni target ya kufanikiwa
kimaisha ili wakitoka wawasahau wenzao???kwa mliosoma mwaka 2000 kuna couple moja ilikuwa kijana mmoja
wa kawaida na dada mmoja mweupe,,jamani walipendana sana sana...,he nakwambia majuzi juzi nimemkuta jamaa kwenye ndege anaenda mwanza nikamuuliza huyu dada wa nyuma ndio mkewetu akasema ndio..nikamuuliza akulikoni akasema longstory tusifike huko br,,tushasahu..lohhhh

embu ukae ukijiuliza sasa sasa je haya mahusiano ya shule kwa nini wakimaliza mkiingia mtaani mnakula kona...???
mimi chuoni nilifuata elimu tu na wala siyo mke. Pressure ya book na demu sikuitaka kabisa.
 
Back
Top Bottom