Kwa nini mafisadi wana uchungu na mali zao kuliko mwananchi anayeibiwa mali zake?

lyinga

JF-Expert Member
Nov 18, 2013
2,498
0
Ndugu hembu tuulizane hili swali na kuwazua ni kwa nini fisadi au wezi wa mali za uma wana uchungu na kile wanachoona wamekipata lakini pale wanapoona wananazidiwa nguvu na wananchi kwa njia yeyote na kwa nguvu zote watatumia nguvu zao kufanikisha udhulumati wao lakini sisi wananchi wenye mali ambao tumeibiwa wala hatuna shida tunaona nisawa tu natolea mfano wizi wa epa, richmond, mikataba mibovu, tembo kuuwawa bilioni 200 hazijulikani zilipo lakini sie wananchi tupo kama vile hakujatokea kitu lakini hawa jamaa wapo imara hata umpeleke mahakamani ataibuka kidedea na faini juu tunalipishwa wananchi nauliza kunani hapo? Tumelogwaa au tuna mapepo tuombewe?
 
big_in

JF-Expert Member
Sep 26, 2013
4,515
2,000

Nani kakudanganya Ccm haija alikwa?

Mkuu kama huna Kazi bora rudi kwenu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom