Kwa nini mabinti vicheche wanabahati ya kuolewa kuliko waliotulia

Mwagitho

Senior Member
Oct 11, 2013
111
38
hii imekaaje wadau hasa ndani ya familia utakuta mabinti vicheche wanapata bahati ya kuolewa ila wale waliotulia wanajikuta wakiendelea kusugua bechi why?
 
they r not selective! na baada ya kugongwa saaana wanakuja kutambua kuwa true love is a myth! wakati waliotulia bado wanahisi mpaka wampate prince perfect na hawajui hata kupretend kama wenzao vicheche.
 
Nt always tru lakn japo kw kiasi kikubwa ts tru..u'good girl ukizidi nao ni stress tu
 
hii imekaaje wadau hasa ndani ya familia utakuta mabinti vicheche wanapata bahati ya kuolewa ila wale waliotulia wanajikuta wakiendelea kusugua bechi why?
Hauhitaji Ph.D kujua why this. Ni simple logic and probality. If u are meeting five guys chance au uwezekeno wa kumpata mmoja atakayekuoa ni mkubwa.

Lakini kama unatoka na mtu mmoja for three years eti umetulia, chance ya kuolewa ni ndogo kwa sababu unategemea mtu mmoja tu akuoe. Ukiachwa unaugulia maumivu na kukata tamaa. It will take a year kupona na kuanza uhusiano mpya. The cycle goes on.

Pia hao unao waita wametulia ni wagumu wa kuanzisha relation. Wanazungusha wanaume hadi wanakata tamaa..na kupata watu wengine.
 
hii imekaaje wadau hasa ndani ya familia utakuta mabinti vicheche wanapata bahati ya kuolewa ila wale waliotulia wanajikuta wakiendelea kusugua bechi why?

Wameshamaliza mambo yao huko mitaani na pia hawachagui chagui kutokana na expirence ya wanaume waliyonayo.
 
sii wanamuwa hawajui kugegedana na jinsi ya kumhandle mwanaume....vicheche walishapitia wanaume wengi so walishapata mafunzo na kujua ili kuolewa unatakiwa ujiwekeje
 
!
!
sababu zipo nyingi ila mojawapo ni kwamba ili awe kicheche maana yake ni kwamba anakuwa anakutana na watu wengi....kadri idadi ya watu inavyoongezeka,uwezekano wa kumpata muoaji nao unaongezeka.

!
!
kama mchezo wa soka tu,kadri mnavyozidi kufika golini ndio uwezekano wa kufunga goli nao unaongezeka
 
Wale vicheche wanaolewa na walio wachezea sababu ndoa zao ni za mchezo, na walio tulia wakija olewa ndoa zao zinakuwa zile zenye kuheshimika na zimetulia.
 
Back
Top Bottom