Kwa nini ma-house girls wengi wananawili na kupendeza kuliko wamama wenye nyumba? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini ma-house girls wengi wananawili na kupendeza kuliko wamama wenye nyumba?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Dumelambegu, Jan 30, 2011.

 1. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #1
  Jan 30, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Jamani,
  Mnakubaliana na hoja hiyo na kama ndiyo, sababu yake ni nini??
   
 2. P

  Paul S.S Verified User

  #2
  Jan 30, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mkuu inaelekea unawatamani sana ma hg wako kama sio kuwa du kabisa.
  Kunawiri nisababu ya kutoka kwao kwenye hali duni na kuja kwenye unafuu ukizingatia idara ya jikoni wanaishikilia wao.
  Natatizwa na unaposema wananawiri kuliko mama wenye nyumba
   
 3. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #3
  Jan 30, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  Wao wanakula milo yote ya home chai chakula mchana uji wa watoto maziwa ya watoto na dinner.wife anakula dinner tuu home muda mwingi anakula vyakula vya barabarani!pia wife ana mawazo,hgirl hana mawazo mazito!vipi mzee amenawiri sana unataka mpa promotion housegirl wako?
   
 4. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #4
  Jan 30, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Mzee miye sijaoa bado ila nikitembelea nyumba za jamaa na marafiki zangu duu, ukimwona house girl mapigo ya moyo yanapanda na kushuka. Lakini mama mwenye nyumba unaona kimyaaaaaa. Probably, it is just something pyschological.
   
 5. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #5
  Jan 30, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,629
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  heheehehehe wanywa uji wa watoto na maziwa ya watoto,,,,,, hilo na mie nakuunga mkono wallah... kweli kabisa.... nahisi ndio sababu...
   
 6. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #6
  Jan 30, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kula kulala... hawana chochote wanachowaza cha kuwafanya wachakae
   
 7. M

  MANAKE MKARI Senior Member

  #7
  Jan 30, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kwa mazingira ya kazi yao ni lazima wawe hivyo.Kwanza hawana mawazo sana kama mama mwenye nyumba.Pili ndo wanaopika muda mwingi so anaweza kula anachotaka na muda wowote ule. Pia ile hali ya kubadilisha mazingira au life style.
  Mama mwenye nyumba mara nyingi anafikiria juu ya familia sijui ada ya watoto mara sijui mzee ana small haouse and so on. Pia kwa maisha kama ya Dar ambapo unaamka saa 10 alfajiri na kurudi saa 3 usiku definately afya itadhurika maana hata kula anashindwa. Unanunua vitu unajaza kwenye freji lakini wanaofaidi ni watoto including maids.
   
 8. s

  shosti JF-Expert Member

  #8
  Jan 30, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  mhh hii kali:car:
   
 9. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #9
  Jan 30, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 396
  Trophy Points: 180
  hapo kwenye maziwa ya watoto pako ambigous kidogo. fafanua tafadhali.
   
 10. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #10
  Jan 30, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mnh kama umeanza kujiuliza haya ujue ndoa yako iko/itakuwa mashakani.....:twitch:
   
 11. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #11
  Jan 30, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  sasa wasinawiri kwa nini?
  kwani wapo utumwani?
   
 12. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #12
  Jan 30, 2011
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Hapana! Si kwa sababu ya kula vizuri tu. Bali ni kwa sababu ya umri wao. Wengi wao hawajafikisha miaka 18 kwa hiyo miaka hiyo ndo miaka ya mwili kupata rutuba na kunawiri. Mama mwenye nyumba mara nyingi yuko kwenye late 20s au 30s na zaidi kesha zaa. Mwili unakuwa umefikia kilele cha usichana. Hata akinawiri hatawaka kama wakati wa usichana wake. Usichana ni kipindi cha pekee cha kila msichana kuonekana mzuri hata kama hana uzuri wa pekee.
   
 13. haibreus

  haibreus JF-Expert Member

  #13
  Jan 30, 2011
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 296
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  Yaa kama mimi kwangu tangu nimenunua samani za bei mbaya sijawahi hata kukalia zaidi !ya mara 2 kwa mwezi,achilia mbali hiyo remote control ya TV yangu kuigusa!!
  Kila kukicha naambiwa maziwa yamekwisha(maziwa ya watoto)cha ajabu namuona HG anapendeeeeza na kunawiri!anyway sio mbaya kama na wewe unataka kufaidi kaa nyumbani!kawe HG sehemu fulani!!
  Vipi kuhusu ma house BOY?
   
 14. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #14
  Jan 30, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,274
  Likes Received: 19,420
  Trophy Points: 280
  nilham hapa panataka ufafanuzi kidogo
   
 15. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #15
  Jan 30, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Kazi anazofanya ni mazoezi tosha ya kuufanya mwili upendeze.
  Hg anagonga milo yote hadi ya ziada.
  Kama yupo sharp anapata muda mzuri wa kupumzika,
  huwa hawawazi future hata kidogo. Kula kulala kujicream ndio mwisho wao wa mchezo.
  Kama mama hana gubu na baba hana kale katabia ndio toto linazidi kupendeza.
   
 16. Masanja

  Masanja JF-Expert Member

  #16
  Jan 30, 2011
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 3,595
  Likes Received: 3,758
  Trophy Points: 280
  You are being unfair mkuu!

  Kwa uzoefu wangu especially hapa kwetu TZ....Hawa wanaamka kabla ya mtu yeyote ndani ya nyumba na wanakuwa wa mwisho kulala. Ni watu wanaotumwa kama punda ndani ya nyumba. Tajiri akisharudi home..inakuwa kama jehanamu..infact wengine...hata chakula wanakula 'familia'ikishamaliza! Na how much are they being paid? You guessed right. Sidhani bongo kama kuna watu wanafanya kazi kwa suluba kama wafanyakazi wa ndani..ukiuliza kwanini analipwa elfu kumi au ishirini..utapewa nonsense zote..anakula kwangu..anavaa kwa gharama zangu nk.....as if yeye alitoka kijijini kula kwako....jamani kazi za ndani ni kama kazi nyinginezo! Change should begin with us....tusiwe tunaipigia kelele serikali tuu..wakati sisi tukipata wa kuwakandamiza..we do worse than serikali..

  To me, hawa watu wanapata mda kama mama/baba mwenye nyumba hayupo..otherwise its hell.

  Jamani nawaombeni..kwa wale ambao hatuangalii maslahi ya hawa watu.....tujitahidi kuwatreat hawa watu kwa huruma na tuwalipe vizuri..maana na wao wana familia zinawategemea....its a shame wewe unapata mshahara wa laki tano unaona haukutoshi....mwenzio unampa elfu kumi na tano....yet anakufulia...anaogesha watoto..anapika, anafagia..duh kuna kazi zaidi ya hizo? perhaps hata anayefanya ofisini hachoki kiasi hicho...
   
 17. Mtumiabusara

  Mtumiabusara JF-Expert Member

  #17
  Jan 31, 2011
  Joined: Nov 18, 2009
  Messages: 473
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Hapo kwenye red, katabia gani katamfanya HG asipendeze ?
   
 18. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #18
  Jan 31, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,629
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  heee ivuga si maziwa ya mtoto jamani mbona wataka unitie aibu tenaa?? baby's milk..
   
 19. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #19
  Jan 31, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Mkuu kunawili ni kuridhika.......
  Therefore inategemea na ambition au target yako..., kwahiyo hata wewe ukiona kwamba hapa am okay and am doing well utanawili..., lakini kama bado unaona haitoshi na unastruggle for more then kunawili ni vigumu...., I mean kama ambition yako ni kuwa kama Bill Gates, hata utakapomfikia Rostam bado hautanawili.

  Its all about brain and power over matter.., ukiiambia akili kwamba moto ni barafu basi hata ukishika moto hautaungua....
   
 20. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #20
  Jan 31, 2011
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kuna vi House boy vinawatunza ndo maana vyenyewe havipendezi vinahonga mshahara wote!!

   
Loading...