Kwa nini lakini?

japhet nkwabi

Member
Mar 8, 2013
91
15
Unakuta kijana kampa binti ujauzito(mimba) halafu anamkataa, binti anavumilia mpaka anajifungua na anaendelea kulea huyo mtoto, Mungu si binadamu binti anapata bwana wakumuoa akishaolewa unaona kile kidume cha kwanza kinaanza kumvizia tena huyo dada napata kigugumizi WHY!!!!!
 
hivi hujui kwamba Tanzania bado tunatawaliwa na waingereza
 
alijua amemkomoa kumbe kamfungulia milango mingine ya baraka.........

sasa anaona kama hakufanya maamuzi sahihi.....baada ya kuona maisha binti yanamwendea vzuri.....
 
Unakuta kijana kampa binti ujauzito(mimba) halafu anamkataa, binti anavumilia mpaka anajifungua na anaendelea kulea huyo mtoto, Mungu si binadamu binti anapata bwana wakumuoa akishaolewa unaona kile kidume cha kwanza kinaanza kumvizia tena huyo dada napata kigugumizi WHY!!!!!

Bado uniacha njia panda sijaelewa kumvizia una maana gani? Je kumvizia kwaajili ya kumgegeda au kumwoa?
 
Mimi nawasifu sana tena sana wanawake wenzangu, kuna wengine unakuta mwamme anakukataa na mimba yako kama sie Yule alokua akikuparamia Kama anaendesha baiskeli, ukimwambia nna mimba yako anakukana na matusi juu, unaangaika mpaka unajifungua Salama baada Ya mda anakuja eti samahani, turudiane au huyu mtoto ni wangu, Duu mungu aninusuru lakini sijui ntamjibu nini....
 
Na nyie wadada mjifunze kudate na wanaume na sio vibishoo vya mavazi mpaka akili...mwanaume wa ukweli hata kama una maisha magumu vip huwez kataa mimba kama yako
 
Mwanamme wa kweli hupambana na kila jambo lililoko linalotokea mbele yake iwe kwa maksudi au bahati mbaya!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom