Kwa nini kusiwe na kura ya maoni ka sudani kuwe na utawala wa majimbo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini kusiwe na kura ya maoni ka sudani kuwe na utawala wa majimbo?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mzambia, Jan 6, 2011.

 1. m

  mzambia JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Wana jf nimekuwa nikifikiria sana kama kuna uwezekano tanzania kuwe na utawala wa majimbo kama sera ya chadema ilivyokuwa inanadi

  labda maendeleo tutayaona kwa mfano:

  Iringa, njoruma, mbeya, rukwa na ruvuma wanakuwa na gavana wao

  morogoro,dodoma singida, pia nk

  nawasilisha
   
 2. m

  mzambia JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Na kama hii ikiwezekana basi baada ya miaka kumi maendeleo yatakuwa makubwa sana ukilinganisha na hivi sasa
   
 3. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #3
  Jan 6, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,373
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  Yaani mnafikiria haya mawazo wakati ccm wakiwa watawala au chadema?......maana ccm iliishashindikana ni mtoto mtukutu...ni kichwa ngumu...is more thanb very rigid
   
 4. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #4
  Jan 6, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Kwa utawala wa majimbo naunga mkono, tutapiga hatua
   
Loading...