Kwa nini kuoa au kuolewa?

Makunzo

Member
Aug 24, 2009
10
0
...Kwa nini Mungu ametuagiza "Mtu mme awe na mke wake mwemyewe na mtu mke awe na mme wake mwenyewe?" Kwa nini Mungu aliagiza hayo? nini umuhimu wa ndoa? Unadhani kwa kusema hivyo ulifikiri chochote kuhusu ndoa za jinsia moja kama wanavyofanya watu leo? Unadhani kwa nini?
 
hebu tupe source ili tujue unaongea kwa perspective gani
 
You know, watu wanaoa na wengine kuolewa kweli wanajua kwa nini wafanya jambo hilo? Wengine wanaweza kuoa kwa sababu wamewaona wenziwao au rafiki zao wanaoa au kuolewa, wengine tamaa ya tendo la ndoa nk Nilichotaka kufahamu ni: (1) Kama wewe umeshaoa/ kuolewa tayari au labda utaoa au kuolewa baadaye kwa nini umelifanya/ utalifanya jambo hilo. (2). Nilitaka kufahamu pia kama ni lengo la kuwa na msaidizi au mtu wa karibu kwa nini watu wengine wanaoa watu wa jinsia moja? Nia yangu ni kupanuana mawazo au kupeana elimu kuhusu swala la ndoa ambalo ni agizo la Mungu - Asanteni
 
...Kwa nini Mungu ametuagiza "Mtu mme awe na mke wake mwemyewe na mtu mke awe na mme wake mwenyewe?" Kwa nini Mungu aliagiza hayo? nini umuhimu wa ndoa? Unadhani kwa kusema hivyo ulifikiri chochote kuhusu ndoa za jinsia moja kama wanavyofanya watu leo? Unadhani kwa nini?

ukamilifu alionao Mungu binadamu hagusi......ndoa ni mpango wa Mungu....funga na kuomba muulize ni kwa nini....yeye ni mwaminifu atakujibu...kwa uwezo wa mwanadamu jibu linaweza kuwa gumu kidogo
 
Kwa mujibu wa Biblia kwanza MUNGU alimuumba Adam na akampa almost everything lakini baadaye akagundua kwamba jamaa bado hana furaha hivyo akamua amtafutie wa kufanana naye.Basi MUNGU akampa usingizi mzito Adam and then akamuumba Eva/Hawa kupitia Adam,Adam alipozinduka akamwona mwanadada mrembo kabisa,he was very very happy na akasema huyu ni nyama katika nyama yangu na huyu ni mfupa katika mfupa wangu akamwita jina lake Hawa from there MUNGU akaweka kitu kuoana hivyo mpaka leo mwanaume au mwanamke is incomplete mpaka awe na mwenzi wake ndio anakamilika.
 
...Kwa nini Mungu ametuagiza "Mtu mme awe na mke wake mwemyewe na mtu mke awe na mme wake mwenyewe?" Kwa nini Mungu aliagiza hayo? nini umuhimu wa ndoa? Unadhani kwa kusema hivyo ulifikiri chochote kuhusu ndoa za jinsia moja kama wanavyofanya watu leo? Unadhani kwa nini?

Sasa kama umedai kuwa Mungu "ameagiza," unataka "tuyaboreshe/tuyarekebishe" maagizo ya Mungu?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom