Kwa nini kukata 'kakofia'?

Kashaijabutege

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
2,696
1,195
Kama kazi ya MUNGU haina makosa, kwa nini kina baba tunakata 'vikofia' vya 'fimbo shughuli' kwa kisingizio cha ustaarabu wa Mashariki ya kati (yaani kama wanavyofanya Wayahudi na Waislam-kutahili)? Mie napanga kuwashitaki wazazi wangu wanirudishie 'kikofia' changu.

Naomba ushauri kabla ya kuchukua hatua hiyo.:target::target::target:
 

pierre

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
211
0
Hii ni kwa afya yako.Inapunguza pia maambukizi we vipi???????Unatakiwa kuwashukuru wazazi kwa kuliona hilo ili wasije kosa mtoto ndio maana waliondoa hiyo kofia
 

Kashaijabutege

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
2,696
1,195
Hii ni kwa afya yako.Inapunguza pia maambukizi? we vipi???????Unatakiwa kuwashukuru wazazi kwa kuliona hilo ili wasije kosa mtoto ndio maana waliondoa hiyo kofia

Maambukizi niyapate wapi, wakati wa kuoga? Nataka 'kakofia' kangu.
 

bacha

JF-Expert Member
Aug 19, 2010
4,284
1,195
Maambukizi niyapate wapi, wakati wa kuoga? Nataka 'kakofia' kangu.

kai unayo kashaija!!!mimi bana mungu aliniepushia mbali na hao waliokuwa wanataka kukata kakofia kangu!mpaka sasa ninayo kofia yangu ipo salama kabisa!Kuna raha yake bana asikwambie mtu bana mimi pamoja na wife na watoto wangu 2 hamna shida kabisa!tena kumbe kofia huwa inakuwa kubwa kadri ile fimbo inavyooongezeka ukubwa!sasa hivi hii kofia yangu ni lazima niibetua sana tu ili niweze kukifikia kile kichwa!poleni sana nyie mliokatwa kofia zenyu!!!!!!!!!!!
 

Gaijin

JF-Expert Member
Aug 21, 2007
11,817
0
JF kuna visa vya aina yake.

Kuna mtu keshawahi kutaka afundishwe namna ya kuondoa ubatizo manake hakubatizwa kwa ridhaa yake, wazee walimlazimisha!

Leo nasikia kofia.....mmmh
 

Kashaijabutege

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
2,696
1,195
jf kuna visa vya aina yake.

Kuna mtu keshawahi kutaka afundishwe namna ya kuondoa ubatizo manake hakubatizwa kwa ridhaa yake, wazee walimlazimisha!

Leo nasikia kofia.....mmmh

acha kuniongezea hasira. Dini unaweza kubadili, kakofia utakapata wapi tena?
 

Bwana PGO

JF-Expert Member
Mar 17, 2008
44,686
2,000
Hahahaaahahahaaaa heri nimeshakula nimeshiba, haya kofia imekujaje tena humu? mara kofia, jogoo, mara sijui nini mwisho mtakuja na thread za maharage.... mie nadhani kofia haina ugomvi japo nilichangia kuondoa kofia za wengine!! kichwa kikishakua sugu ile sumaku hupotea hivyo hainasi kwa kiwango kilekile ilitakiwa ibaki vilevile ili iwe full chaji anytime ukitaka kuwasha gari!! kichwa cha gari moshiii
 

birungi

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
390
195
kashaija shukuru tu ilivyokatwa,imekupunguzia maradhi.mbona na kucha unakata na hulalamiki?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom