Kwa nini kujiandikisha kusifanywe 24 hrs ?

Bandiwe

JF-Expert Member
Oct 19, 2013
9,530
3,553
Kwa nini ukae kwa saa 16 kituoni ili kuandikishwa ?
Hii ni dharau kwa wananchi!
 
NEC inakwepa gharama.

inabidi waongeze hela kwa waandishi.

inabidi wakodi majenereta na kununua mafuta ili kuchaji BVR

inabidi walipie umeme kwa maeneo yenye umeme ili kuchaji BVR.

hawa jamaa wameshindwa kununua BVR nyingi kuwatosha watu wote waandikishwe bila bugudha. na hiki ndicho chanzo cha hali inayoonekana kwenye uandikishaji.

hawawezi kwa kushindwa gharama.
 
Kama shida ni gharama watangaze vijana tujitolee.mimi binafsi nipo tayari kufanya bila malipo kwa siku 7,watupe semina ya mafunzo tufanye iyo kazi.
 
Back
Top Bottom