Kwa nini kila kiongozi anaeshinda urais ni lazima afike Roma Vatican city kwa mazungumzo

Kizuio

JF-Expert Member
May 29, 2018
845
521
Papa ana nembo mbili
Kwanza ni kiongozi wa kidini
Pili ni kiongozi wa nchi inayoitwa Vatican
Na mara nyingi naona viongozi wengi Duniani wa kisiasa wakishinda tu piga ua lazima afike Vatican kwa mazungumzo iwe kwa kutangazwa au kimyakimya
Ni kujitambulisha tu au kuna ziada?

Wajuvi wa mambo mtujuze
 
unnamed.jpg
 
Kwani jiwe alienda ?
 
Mkuu,

Hakuna jipya katika kumuona mzee wetu pale state,

Usiumize kichwa sana.
 
Ukisoma kitabu cha nabii Daniel,kisha ukamalizia kwa kusoma kitabu cha ufunuo utakuta mambo hayo yameelezewa nje ndani!
 
Mkuu unajua croatia 94% ya population yake ni Roman Catholics? Sasa kuna ajabu gani rais wao kwenda huko rome kumuona pope?. Lakini ungetuambia kwanini JPM hajaenda kama ni lazima rais aende rome baada ya kushinda. Kama JPM hajaenda ina maana yeye siyo rais kama ni rais basi hoja yako ni mfu.
 
Vipi rais wa Irani naye alifika vatican
 
Back
Top Bottom