Kwa nini kikwete atembelee wizara badala ya kumuagiza waziri kwenye cabinet meeting? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini kikwete atembelee wizara badala ya kumuagiza waziri kwenye cabinet meeting?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gosbertgoodluck, Mar 19, 2011.

 1. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Wandugu,
  Hako ni kaswali ka kizushi tu. Huyu mheshimiwa naona ameanza tena kutembelea wizara na kutoa maagizo kwa waziri mbele ya watendaji wake. Ninachojiuliza ni je, kwani kwenye vikao vya baraza la mawaziri hakuna fursa ya yeye kutoa maagizo kwa waziri husika kiasi cha kumlazimu amfuate wizarani? Au ndiyo ile tabia yake maarufu ya kupenda publicity na kuwapumbaza wananchi aonekane ni mchapa kazi?
   
 2. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Hana shughuli ya kufanya, nchi imemshinda anabaki kuzurura tu. Anatoa maagizo hajiamini hata kidogo kwa sababu hata yale anayozungumza hayajui, oooh angalieni msilete richmond nyingine, oooh walipeni wazee, oooh wachakachuaji wanyang'anywe leseni na akitoka hapo keshasahau aliongea nini. Atulie ofisini ajipange upya nchi inakwenda kombo.
   
 3. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,592
  Likes Received: 4,697
  Trophy Points: 280
  Jibu lake ni jepesi, NI USANII.
   
 4. K

  Kikambala Senior Member

  #4
  Mar 19, 2011
  Joined: Jun 28, 2008
  Messages: 163
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mi huwa najiuliza huyu jamaa anafanya kazi saa ngapi?maana kama hajasafiri nje basi yupo wizarani anatalii,hv ikulu si kumejaa mafaili ambayo yeye angepaswa kuyasaini na kuyatolea uamuzi?mmmmmmmmmmmm kweli tumeliwa kama alivyosema yeye ukitaka kula nawe uliwe kidogo
   
 5. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #5
  Mar 19, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  Hivi hiki kiti kipo kila wizara anayo tembelea Rais maana kila wizara kipo hata picha za nje unakuta kipo
   
 6. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #6
  Mar 19, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Kazi huchapwa kwa mikono....na si mdomo
   
 7. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #7
  Mar 19, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Anahama nacho.....ni medical chair
   
 8. S

  Songasonga Senior Member

  #8
  Mar 20, 2011
  Joined: Mar 13, 2011
  Messages: 152
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mhh kila mtu ana lake hayA wee
   
 9. v

  van victor Member

  #9
  Mar 21, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wakati mwengine bila kiongozi kufatilia na kuwatia tumbo joto wahusika wa wizara husika utendaji unakuwa dhoofu.
   
Loading...