Kwa nini kabila la Wakurya bado wana mila za kizamani za kuwachagulia watoto wao wake/waume?

naona nimekugusa makend.e unalo hilo baki nalo,yes mie ni mkurya nimechangia na kabila lingine,hutaki hupendi kajinyonge!!!!!...hamna watu watesaji wa wanawake na wanapenda nyumba ndogo kama wakurya........wewe dada bora umewaepuka hawa waluga luga...sasa wewe mbwiga kama una hasira sana jitie kitanzi...nyambafu!


Kwa hiyo hata mzazi wako ni mluga luga?!! ndio maana nimesema wewe akili huna ndio maana huna mume nani akuoe mwanamke mchafu kama wewe, huogi na hilo shape lako baya kama papa...mimi ntaongea na mama yako manake badae ntakua nae
 
kujinyonga ni njia rahisi kwa mbwiga kama wewe,sio kutoa povu kisa kabila lako limetajwa nyau wewe,kuumia ,mie na wewe nani anayeumia??? usijishaue mtu yeyote anakusoma unavyotokwa povu kwenyehii topic atajua umeguswa kunklo....unalo hilo...babu!....mwisho unikome,asiye na hadhi mamako ndio maana alizaa toto taahira kama wewe...usijihangaishe hunijui na hutakaaa unijuekamwe sina shida ya pumbu ninalo la haja full time mngese we!

ha ha ha ha utapasuka leo nyaitako mimi niko na wewe up n down..doggy
 
Kwa hiyo hata mzazi wako ni mluga luga?!! ndio maana nimesema wewe akili huna ndio maana huna mume nani akuoe mwanamke mchafu kama wewe, huogi na hilo shape lako baya kama papa...mimi ntaongea na mama yako manake badae ntakua nae

koma kibudu wewe usitake kujipendekeza kwangu mzazi wangu awe mluga luga au sio wewe mngese inakuhusu nini???asiye na akili mama yako,baba yako shangazi yako hadi sisimizi wa kwenu.....halafu komea hapo hapo nimekwambia hutakaa unijue kamwe...huogi ni wewe ndio huogi ndio maana unadhania kila mtu haogi....pole endelea kumwaga mafrustration yako ya ndoa hapa...kumbe umeachwa?? eeh pole nani alikuambia uolewe na lijanaume la kikurya????huwa hayasettle na mmmoja hao......unalo hilo kubali kushare au fungasha urudi kwenu ikwiriri....shenzi type!
 
1. Wewe dada umekosea hili ni jukwaa la siasa THREAD YAKO UNGEPELEKA KWENYE UDAKU
2 KAMA NI KWELI UMESEMA UNA ELIMU ISIYOKUWEZESHA KUSHAAWISHI MMEO AKUOE ELIMU YAKO NI BURE
3 UNAPOONGELEA KABILA U MEAN MORE THAN 10000000000 SPECIES KWA WAKURYA KUNA MABADRE,WACHUNGAJI,MASHEKH,WATAWA,WAALIMU,MADR, NA KILA AINA YA WATU hawa wote wamekuoa mpaka unawatusi?
4.wakurya nao pia wana haki ya kuwa na tamaduni zao lakini pia kuzienzi
5.alipokutongoza ulijua ni mkurya? miaka yote 7 hujajua ni mkurya?
6. watu wa aina yako hawana tofauti na waasi wa libya wanaothamini kubha kuliko utaifa wao! na wewe unachotaka ni kupata uhuru wa kufanya ufuska tu nyie ni watu wabaguzi sana msiofaa kupewa hata nafasi kitandani unaleta ukabila kwenye karne hii huo ndio ustaraabu na hiyo ndiyo elimu?!!!!!
 
....nyoo naona ushaanza kupoa,ulidhania mie ni kama hao wanawake mnaowanyanyasa??...shenzi type...jitie hamnazo nikutulize makend.e hayo pumbafu!

Kwa hiyo mama yako hamnazo sio?!!! una laana wewe sio bure ndio mana utamaliza waganga wote kuolewa hutaolewa!!! utabakia unadandia waume wa wanawake wengine tu...kwanza mchafu wewe huogi mpka unyeshewe nani akuoe...
 
kwa hiyo mama yako hamnazo sio?!!! Una laana wewe sio bure ndio mana utamaliza waganga wote kuolewa hutaolewa!!! Utabakia unadandia waume wa wanawake wengine tu...kwanza mchafu wewe huogi mpka unyeshewe nani akuoe...

mnh kumbe na kwa waganga unaendaga????shosti sikuwezi........kisaaa???baba chacha aiache ile nyumba ndogo yake akufate wewe???mnh una ukazi!!!!!...wewe endelea kumwaga data zako.....aliye hamnazo ni mama yako kwa kuzaa toto punguani kama wewe!
 
sasa naenda kukusemea kwa kaka,kwani na wewe si ukaolewe na kabila lako ili usipoteze asili yako?
ukinibembeleza sisemi ila vigezo na masharti kuzingatiwa....
 
mnh kumbe na kwa waganga unaendaga????shosti sikuwezi........kisaaa???baba chacha aiache ile nyumba ndogo yake akufate wewe???mnh una ukazi!!!!!...wewe endelea kumwaga data zako.....aliye hamnazo ni mama yako kwa kuzaa toto punguani kama wewe!

Umeishiwa sasa katawaze ukae barabarani uone kama utapata wa kuku cameroun leo...
 
Kwa nini unataka kujua mapungufu yangu?mie ni binadamu so mapungufu lazima nitakuwa nayo. Unavyoongea ni kama vile nyie mko perfect 100%. Kwa taarifa yako nimeishi na ndugu za mume wanaume watano na wanawake watatu kwa miaka yote hiyo!I am the last borne sina ndugu wa kuishi nae, na hata kama angekuwepo nisingeishi nae!Ni wanawake wachache sana wanakubali kuishi na ndugu wengi kiasi hicho!
Labda nikujuze kidogo tu kuwa mi pamoja na kuwa nina kaelimu kadogo sina hela as you think eti nimuoe kijana wao! I have started working mwaka jana!In my life sijawahi kujivunia elimu hata siku moja!Kuali usikubali this family has got problems!Mimi mwanamke wa nne kukataliwa na wazazi wake!Hao wengine walikuwa kaila lake na elimu yao ndogo, the what about hao???????????????
Hakuna material things I am after in this family!What I want ni kuendeleza familia tuloianzisha, PERIOD!

mbona unatapatapa mara msomi, mara elimu kidogo, mara mama mkwe, mara ndugu watano, mara una madhaifu kwani wewe madhaifu yaako ni mboga? au ni dawa? halafu ungeandika kiswahili tu maana naona hii lugha ya kule kwa mashoga nayo ni tatizo kwako! papara pia unazo sana jifunze kuishi na walimwengu sasa tukushauri kwa lipi?
 
Umeishiwa sasa katawaze ukae barabarani uone kama utapata wa kuku cameroun leo...

nyooo...usiniambie baba chacha ulimuachia akakucameroon? na bado akasepa??....shosti huyo mganga wako hafanyi kazi tafuta mwingine!
 
koma kibudu wewe usitake kujipendekeza kwangu mzazi wangu awe mluga luga au sio wewe mngese inakuhusu nini???asiye na akili mama yako,baba yako shangazi yako hadi sisimizi wa kwenu.....halafu komea hapo hapo nimekwambia hutakaa unijue kamwe...huogi ni wewe ndio huogi ndio maana unadhania kila mtu haogi....pole endelea kumwaga mafrustration yako ya ndoa hapa...kumbe umeachwa?? eeh pole nani alikuambia uolewe na lijanaume la kikurya????huwa hayasettle na mmmoja hao......unalo hilo kubali kushare au fungasha urudi kwenu ikwiriri....shenzi type!

Nilikuonya utatoa mapovu sana sasa umeona?!! ha ha ha ha msagane nyaitako leo unalo nyakebombo kigundo..uwe unaoga basi loh
 
WALIMWEUSI pole sana. Umeuliza kwa nini hao wazazi wanawachagulia watoto wao wake/waume... Moja ya sababu ni kuwaepusha watoto wao na huo UOVU wa kukaa na wenza hadi miaka 7 na zaidi bila ndoa!! Sababu hilo ni kosa kimila na hata kidini.. Pia nadhani tungejaribu kuwa wastaarabu kuwa kama umejisikia kulaumu hapa kabila fulani kijumlajumla kama hivi, uanze na kuweka wazi kabila lako kwanza ndo ulaumu la wengine! Haiingii akilini mtu anayeona haya kutaja kabila lake 'zuri' akaanza kuponda makabila ya wenzake, angalia kwa mfano pamoja na ubora wa kabila lako na elimu yako havijakuepusha na kuwekwa kinyumba kwa miaka 7 bila ndoa!! Mtu atajiuliza kabila bora limeshindwa kutoa mtoto bora?!. Kwenye sredi hii nimeshangaa pia kuwa kumbe hawa wadada wanaolia kila siku na nyumba ndogo, kumbe waume zao ni wakurya! Maana tumeambiwa ndio wanapenda nyumba ndogo! Nakutakia wewe na mwenzako hekima na msaada wa Mungu mpite salama ktk hayo yanayowakabili.
 
nyooo...usiniambie baba chacha ulimuachia akakucameroon? na bado akasepa??....shosti huyo mganga wako hafanyi kazi tafuta mwingine!

Nilipokuambia wewe chizi ndio maana unawaita wazazi wako Waluga luga ulibisha lakini sasa nadhani utakua unajitambua wewe kweli kitumbua cha sembe...
 
Mkuu upo sahihi, coz marafiki zangu Wakyuria wameoa watu wa makabila mengine na ndoa zao zina raha sana tu!!! Kikubwa ambacho wakyuria wengi hawajakiacha ni kwamba MFUMO DUME kwao ni jadi....kila kitu lazima midume iki-ratify kwanza la sivyo utakitekeleza kuzimu na sio duniani!!! Sifa kubwa waliyo nayo ni kwamba sio wanafiki hata kidogo....always anachokiamini na matendo yake vinashabihiana.

Hii kabila unalolisema la Wakyuria ndio kabila gani tena ndugu yangu? Halafu hiki unachoita MFUMO DUME wa hilo kabila la wakyuria ndio ukoje? Sidhani kama suala la maamuzi ya msingi kuwa ratified na mkuu wa familia ni MFUMO DUME unless na wewe ni muathirika wa hizi kampeni za akina Ananilea Nkya. Kimsingi tatizo la huyu mama ni mme wake ambaye ameshindwa kufanya maamuzi magumu, kwa kutumia hicho unachoita mfumo dume, kuhusu suala la ndoa yake na mkewe. Wewe mtu amekaa na mwanamke kwa miaka saba na wana mtoto halafu bado anaongelea kufunga ndoa kanisani au kwa DC - huu ni ujinga. Hii waliyonayo tayari ni ndoa halali na alitakiwa awaangalie machoni ndugu zake na awaeleze kuwa yeye ameshaoa. Tatizo la huyu mama anapambana na mtu asiyehusika - yaani mama mkwe na sasa analaumu kabila zima kwa udhaifu wa mumewe. Kwa wakurya mtu akisha toa mahari kwa familia ya mwanamke na wakakubali na kumkabidhi mke hapo tayari ndoa imeshakamilika. Haya mambo ya kwenda kanisani au kwa DC ni kwa minajili ya kutafuta kile cheti tu lakini hakiondoi ukweli kuwa ndoa tayari ipo. Sichangii tena hii mada mpaka kichwa cha thread kitakapobadilishwa.
 
Naombeni ushauri wana jammii. Nimeishi na mwanaume wa kikurya kwa miaka saba sasa na tuna mtoto mmoa. Familia ya mwanaume huyu ni ya ajabu sijawahi kuona!Ndugu na wazazi wake ni watu wa ajabu kiasi kwamba nashindwa kuelezea!Kilichonisikitisha ni kitendo cha kuzuia harusi iliyokuwa ifanyike mwisho wa mwaka huu, sababu eti kwanza mie msomi, pili kijana wao akinioa (sio mkurya mwenzie) basi wao watampoteza mtoto wao na hawatapata tena msaada toka kwake. Jamani hebi nipeni mawazo yenu, nifanyeje?

Binafsi watu wanao generalize vitu kama wewe huwa nawaona mazuzu tu.
Umefanyiwa hivo na familia moja,then unadhani ni wakurya wote wako hivo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom