Kwa nini JK hushindwa kuzumgumzia ufisadi hadharani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini JK hushindwa kuzumgumzia ufisadi hadharani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zak Malang, Mar 20, 2011.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  WanaJF nauliza hivi:

  Kwa nini JK anapokutana na vikundi vya watu mbali mbali katika jamii huwa hagusii masuala ya ufisadi yaliyo katika safu ya uongozi wake? Ikiwa na wazee, vijana, viongozi wa dini, daima huwataka wakemee uchochozi, chokochoko za kidini, nk -- na si ufisadi.

  Jana wakati wa hafla ya kumsimika askofu mpya wa Kanisa Katoliki Jimbo la Dodoma, alitamka hivyo hivyo, kwamba viongozi wa dini wasiache kukemea vitendo vya uchochezi -- na bila shaka lengo kuu lilikuwa ni CDM.

  Kwa nini hakugusia ufisadi? Hivi JK anasahau au pengine hajui kabisa (na hili sitashanmgaa) kwamba hata Sheria ya Kupambana na Rushwa iliyopitishwa na Bunge mwaka 2007 katika utangulizi (preamble) yake inataja wazi wazi kwamba kuendelea kushamiri kwa ufisadi kunaweza kunatishia amani ya nchi?

  Jamani hebu tuelezeni ukweli, huyu JK anasimamia nini hasa? Anaachia tu ufisadi ushamiri na CDM iki-point out hayo, basi wanakuwa wachchozi na wanatishia uvunjifu wa amani?
   
 2. Jamal

  Jamal Member

  #2
  Mar 20, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 11
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Kwa maono yangu ni kutokana na uhusika wake katika maswala haya ya ufisadi, ni vigumu kumsema mwenzio et anamaliza nyama wakati we unakomba mpaka bakuli. mkulu wetu hajiamini na hataweza kujiamini kulisemea swala la rushwa kwani wahusika wote wamemzunguka naye pia akiwa miongoni mwao. miaka 5 ni mingi sana kwa watanzania nadhani next 5 yrs tuta geuza antena kwasasa chenga tupu
   
 3. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #3
  Mar 20, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Mkuu Zak:

  Kwa hapo kwenye red nakuhakikishia kwa 100% kwamba Mkwere alikuwa halijui hilo -- hana time ya ku-read the fine print katika nyaraka nyingi tu. Tuliona jinsi alivyojikanganya katika ile Sheria ya Matumizi ya Fedha katika kampeni. Jk ni kama kipofu tu anayeupeleka umma wa Watz kwenye korongo akifikiria wote ni vipofu. Ufisadi ndiyo utaliangamiza taifa hili -- na siyo wale wapiga tarumbeta dhidi ya ufisadi.
   
 4. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #4
  Mar 20, 2011
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hatutegemei Kipya kutoka chama tawala yeye akiwa ni mwenyekiti wake kwa sabanbu kama kweli sheria ya matumizi ya pesa nyakati za chaguzi ikifuatiliwa victim no.1 watakuwa ccm wenyewe.

  Ukiangalia pesa zilizotumika kumnadi yeye kwenye mabango peke yake ni mamilioni ya shilingi bado magari mapya yaliyoagizwa maalum kwa ajili ya campaign. Hakuna mwenye hakika kama pesa zote zilizotumika kwenye campaign ni pesa safi, hakuna ajuaye.
  Katika mazingira hayo kutegemea mkuu kulisemea hili itakuwa ni ndoto ya mchana, sana sana subiri kumsikia akisema kwamba Dowans ni lazima walipwe!! kwa kuwa kuna mgao.
   
 5. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #5
  Mar 20, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
  Labda hana habari kuwa kuna ufisadi....yaani haujui kama asivyomjua mmiliki wa DOWANS
   
 6. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #6
  Mar 20, 2011
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Unafahamu USA wana ile sheria ya RICO Statute (Racketeer Influenced and Corrupt Organizations Act ) ambayo inambana mtu yoyote yule ambaye ana-benefit na criminal groups kwa njia yoyote ile. Sio siri JK yupo kwenye hilo kundi ni swala la muda tu tutakapoweza kupata kiongozi shupavu wote hawa wanaotusumbua hivi sasa watakiona cha mtema kuni.
   
 7. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #7
  Mar 20, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,468
  Likes Received: 3,739
  Trophy Points: 280
  Hajui kwamba kuna mafisisadi kama vile ambavyo hajui
  kwa nini Tanzania ni masikini
  Empty brain
   
 8. Mo-TOWN

  Mo-TOWN JF-Expert Member

  #8
  Mar 20, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,629
  Likes Received: 140
  Trophy Points: 160
  Ili uzungumzie ufisadi ni lazima uwe na nia, msafi na mikakati. JK lack these qualities!
   
 9. M

  Mboja Senior Member

  #9
  Mar 20, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 158
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Ndugu yangu Jk si kipofu wala si kiziwi, ila ndie kinara wao hao wakulu na ndio maana hawezi kumnyooshea mtu kidole.
   
 10. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #10
  Mar 20, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,250
  Likes Received: 3,863
  Trophy Points: 280
  Anajua vema,anaijua IPTL,Richmond,Meremeta,Kagoda(ccm) na Deep green. Kama haijui Dowans amuulize afisa uhusiano wa kampuni hiyo Salva Rweyemamu anamfahamu vizr mwajiri wake
   
 11. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #11
  Mar 20, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Ninafikiri Rais anatatizo la kisaikolojia,

  Kwa kawaida Mtoto aliyepata mzozo/matatizo/misukosuko ... na Baba yake Mzazi

  anapofikia utu uzima ..anakuwa Mnyonge mbele ya Watu Wakandamizaji na Wakatili.

  Hana uwezo wa kusimamia, kuongoza na kukemea katika kujenga Mtu huru mwenye tija.

  TATIZO: Unyonge wake toka utotoni kimalezi hupelekea
  kukuwa na kukomaa kwa WATU WAKATILI, MAFISADI NA WAKANDAMIZAJI! kama ilivyo sasa nchini!

  Huu ni ukweli na shule katika kanuni ya kisaikolojia.

  Tuletene taarifa za Mahusiana ya Rais na Baba mzazi.

  SULUHU: Atokee mtu akamueleze Rais hizi habari na ajitahidi aondoe Kinyongo na mzozo wowote moyoni kwake kuhusu Baba yake Mzazi ..Atakuwa huru na atakuwa na Ujasiri na Uhuru wa kuchukua hatua madhubuti kusimamia na kuogoza kwenye hali yenye tija.
   
 12. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #12
  Mar 20, 2011
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,402
  Likes Received: 685
  Trophy Points: 280
  Mmesahau kuwa aliapa na kuahidi mbele ya chama,ccm atailinda mpaka kufaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!na kufa huku sio kwa ccm bali yeye(kiongozi)
   
 13. k

  kibokogiziba Member

  #13
  Mar 20, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Its true ufisadi ni mkubwa sana lakini kutamkia mtu ni "empty brain" ni tatizo la kutodhibiti hasira, pia tujue wazi kama kiongozi ni lazima utumie busara katika kukosoa baadhi ya mambo na kutangaza watu hadharani kwa mfano "fulani ni fisadi na fulani " si busara kwa mtumzima na isitoshe viongozi wazuri hukemeana kwa siri waka si kutangazana hadharani kwa sababu tu ili ukidhi presha ya wananchi.
  pole kwa hasira lakini kua uone kama mtu unaeanya nae kazi unaweza kumkaripia hadharani.
  ok jioni njema.
   
Loading...