Kwa nini jiwe hili huitwa Fatuma?! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini jiwe hili huitwa Fatuma?!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Malila, Nov 29, 2008.

 1. M

  Malila JF-Expert Member

  #1
  Nov 29, 2008
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  Kila mara utasikia majambazi wamevunja mlango kwa kutumia jiwe la Fatuma. Kwa nini jiwe hili likaitwa jina hilo? Wajuvi wa mambo karibuni mchangie mada hii.
   
 2. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #2
  Nov 29, 2008
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  It is a code name ambayo huitumia ili kufanya kazi yao bila incoviniences zozote hasa kimawasiliano. Ikiwa utasikia wakisema Fatuma amesemaje pengine wakimaanisha jiwe lao hilo itakuwaje? Wewe hutoweza kujua na au ukiwakuta usiku kwa kuwafumania wamebeba watakuzuga jamani twende tumkimbize Fatuma haraka hospitali kazidiwa na ukitaka kusaidia watakuambia asante ngoja tumpumzishe kidogo hapa wakiwa wamefunika nguo hivyo utadhani mtu wa kweli na Fatuma. Kumbe aaalaa ni jiwe na ni majambazi. Sijui nani kawafundisha na hurithishwa kizazi na hata kizazi cha familia jambazi na kamwe ni mwiko huwa hawaliachi nyuma unless wameuawa!
   
 3. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #3
  Nov 29, 2008
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160

  Linaitwa Fatuma, kwasabu ni jiwe Malaya, linaingia popote. Oooops.

   
 4. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #4
  Nov 29, 2008
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  What does it mean popote? You mean even a police door!! or bank door!! etc Kindly clarify.
   
 5. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #5
  Nov 29, 2008
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Si jiwe kama mnavyozania ila ni mfano wa gogo na huwa limetengenezwa rasmi na mikono ya kulibebea mfano wa picha iliyopo,ila sababu ya kuitwa Fatuma ni kuwa kuna hadithi za kale zinasema alikuwepo mwanamke akiitwa Fatuma na alikuwa na nguvu kubwa za ajabu na hakuna alieweza kupigana nae na atakaejaribu hupigwa na huondoka kilema.
  Hili jiwe la Fatuma kama tulionavyo kwenye picha ndani yake ukitazama utaiona hiyo picha ya Fatuma mwenyewe ,nafikiri hili walilipata hapa Tanzania ila sasa wameliweka kwenye makumbusho pamoja na yule mjusi anaedaiwa na bunge letu ambae yupo Ujeru.

  [​IMG]
   
 6. M

  Mwanjelwa JF-Expert Member

  #6
  Nov 29, 2008
  Joined: Jul 29, 2007
  Messages: 961
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  HUjajibu shwali. Wewe ni kama muulizaji. wote hamjui. Bora kuangalia majibu ya wenzako kuliko kujieleza mwenyewe kama hivi
   
 7. M

  Mutu JF-Expert Member

  #7
  Nov 30, 2008
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0

  Nadhani uko sahihi Mwiba.
  Na kwa kukazia tu ni kwamba technology hii inatumika mpaka sasa hata na wanajeshi hasa wa marekani wanavyobomoa baadhi milango .Check movie ama live wakionyeshwa Iraq .
   
Loading...