Kwanini JF?

Mfanyakazi mwenzangu kila mara alikuwa ananiita nikasome thread iliyomvutia au kumchekesha, mwisho nikaona isiwe taabu mgoja nijiunge mwenyewe, ila watu walikuwa wananiogopesha sana kuhusu hii forum nimekuja kukuta sivo wanavoichukulia
 
Mhh "wachakachuaji" mpooo?
Naona mmechakachua uzi wa huyu "Binti Mwema" mpaka na yeye mmemuiba!
Ok, thanks Asha D.... kwa huu uzi mtamu sana!

Mi ni mpenzi sana wa siasa, na marafiki zangu ni watu wa kufuatilia siasa,
Mwaka 2008 jamaa akaniambia cheki JF, kuna majitu yanaichambua hii nchi balaa.
Siku nilipofungua, nilienda moja kwa moja "jukwaa la siasa".
Huko kuna watu walinifanya niingalie JF kwa jicho la msisimuko.
Kuna watu kama "Invisible", "Mzee mwanakijiji" na wengine kibao siwezi wataja wote.
Hawa walinifanya hata kutokufikiria kwamba unaweza kuji-register.
Ila nilikubali kuwa fasihi ya "great thinker, where we dare dare to talk openly"
ilikuwa inakidhiwa na wajumbe wake.
Hivyo nikawa napita kusoma tu, mishe za hii maisha nikawa mbali sana na mtandao hadi majuzi.
Baada ya mda mwingi naingia JF, sikuhiyo kila thread nilikuwa nataka kufungua ikawa inagoma,
Kwamba inabidi nijisajiri kwanza.... basi nikajiunga na mda mwingi sana nashinda "Jukwaa la Siasa"
Ila kwa siku lazima niripot huku MMU,
Na siku ya kwanza kuchungulia huku MMU nilivutiwa sana na Afro Denz, Miss Judith (afu nimem-miss huyu mtu), Blak Woman, Lizzy (mnoko),
The Finest, The boss, Sussy, Nyumba kubwa, Preta na wengine wote wajumbe wa huku MMU.
Then nikaanza kumuona huyu mtu....... its U Asha D, my JF special Gal....!
Sifikirii kuondoka huku jamani.
 
Nilikuwa namGoogle michelle obama mara ghafla katokea michelle wa JF anajibizana na Uporoto. Khaaa! mwengine aendeleze huu mkasa uliishiaje

Kloro wewe Michelle wa Obama ulikua unamtafuta wa nini??
Bahati nzuri Michelle wetu wa JF ana sifa zaendana na wa Obama...

Thank you for sharing...
 
Mfanyakazi mwenzangu kila mara alikuwa ananiita nikasome thread iliyomvutia au kumchekesha, mwisho nikaona isiwe taabu mgoja nijiunge mwenyewe, ila watu walikuwa wananiogopesha sana kuhusu hii forum nimekuja kukuta sivo wanavoichukulia

BB dear nashukuru kua you are one of the members for
some of your posts hunikosha... sijui hua unawaza nini...lol
I am glad pia kua umekuta sivyo ulivyokua unafikiri..

Thank you for sharing...
 
Mayassa naomba haraka saaana mtafute Stevie D popote pale alipo!

Jamani wapi Stevie??????? Mtoto kapatikana hapa...lol

Thank you for sharing...

Hahahaaa Asha D, mbona mchumba nilishampata kitambo... kaeni mkao wa kupokea kadi za mwaliko..
 
Owwwkey!
Nilijiunga may 09 nadhani...nikachangia kizushi mpaka july 09 then nikaachana JF mpaka april 10 sijui nilikua nachungulia nini nikakutana na thread ya ‘The truth about beauty peagents‘ nikachangia kidogo ila iliyonitoa povu ni moja hivi ilikua inasema kwamba watoto wasiolelewa na baba zao hua wanakua kua anti-social!Nakumbuka nilibishana na mshkaji mpaka basi...sasa ndo nikaona owkey ngoja niangalie kama kuna mwingine anaeleta assumption za ajabu ajabu nipambane nae..MPAKA LEO NIPO!

Na kweli wewe ni mpambanaji...Mshukuru mkoloni wako kwa kutokuwekea mageti mazito mazito kama high security prison!
 
Mhh "wachakachuaji" mpooo?
Naona mmechakachua uzi wa huyu "Binti Mwema" mpaka na yeye mmemuiba!
Ok, thanks Asha D.... kwa huu uzi mtamu sana!
Mi ni mpenzi sana wa siasa, na marafiki zangu ni watu wa kufuatilia siasa,
Mwaka 2008 jamaa akaniambia cheki JF, kuna majitu yanaichambua hii nchi balaa.
Siku nilipofungua, nilienda moja kwa moja "jukwaa la siasa".
Huko kuna watu walinifanya niingalie JF kwa jicho la msisimuko.
Kuna watu kama "Invisible", "Mzee mwanakijiji" na wengine kibao siwezi wataja wote.
Hawa walinifanya hata kutokufikiria kwamba unaweza kuji-register.
Ila nilikubali kuwa fasihi ya "great thinker, where we dare dare to talk openly"
ilikuwa inakidhiwa na wajumbe wake.
Hivyo nikawa napita kusoma tu, mishe za hii maisha nikawa mbali sana na mtandao hadi majuzi.
Baada ya mda mwingi naingia JF, sikuhiyo kila thread nilikuwa nataka kufungua ikawa inagoma,
Kwamba inabidi nijisajiri kwanza.... basi nikajiunga na mda mwingi sana nashinda "Jukwaa la Siasa"
.

I appreciate hio insight uliotupatia ya what influenced you, na naamini hao
watu ambao waliku influence they are proud of you na michango yako,
tokana na kukutana katika post mbali mbali najua hua mara nyingi hukurupuki
for you are very sensitive when giving your comments.... Nikiona tu jina, post
au journegwalu whether i like it or not nakumbuka Bob Marley, Busta, Lauryn na
Defjam records (hutokea inevitably...lol...) Enways..

Thank you for sharing...:A S-rose:

its U Asha D, my JF special Gal....!
Sifikirii kuondoka huku jamani.[/COLOR][/FONT]

jorneGwalu with that statement a gal is allowed to blush....:music:
Thank you dear for your admiration for you are one of The special ones too.
Again Happy Birthday to Malaika... may she prosper...

Asha D.
Pamoja saana.
 
Thanka Asha D,
Umekutanisha watu hawa.... hahaahaha lol

journeGwalu binti katolea nje! toka kajitangaza Stevie D
hajatia mguu hapa mpaka ndege kapeperuka.. too sad.
Hata hivyo nitamshauri avue ile t-shirt kwenye Avatar waweza
kuta nayo ya changia...lol
 
Mimi nilikuwa nasoma kama Guest kutokana na rafiki yangu kunihadithia mambo ya kikubwa, siasa, nafasi za kazi na mengine meengi akisifia sana unaweza kuchangia na bila kujulikana nikajiunga japokuwa nilikuwa napata taabu sana kujiunga mpaka nikatuma msg kwa support@jamii.... ndo nikawa member/mjumbe
 
Mhh "wachakachuaji" mpooo?
Naona mmechakachua uzi wa huyu "Binti Mwema" mpaka na yeye mmemuiba!
Ok, thanks Asha D.... kwa huu uzi mtamu sana!

Mi ni mpenzi sana wa siasa, na marafiki zangu ni watu wa kufuatilia siasa,
Mwaka 2008 jamaa akaniambia cheki JF, kuna majitu yanaichambua hii nchi balaa.
Siku nilipofungua, nilienda moja kwa moja "jukwaa la siasa".
Huko kuna watu walinifanya niingalie JF kwa jicho la msisimuko.
Kuna watu kama "Invisible", "Mzee mwanakijiji" na wengine kibao siwezi wataja wote.
Hawa walinifanya hata kutokufikiria kwamba unaweza kuji-register.
Ila nilikubali kuwa fasihi ya "great thinker, where we dare dare to talk openly"
ilikuwa inakidhiwa na wajumbe wake.
Hivyo nikawa napita kusoma tu, mishe za hii maisha nikawa mbali sana na mtandao hadi majuzi.
Baada ya mda mwingi naingia JF, sikuhiyo kila thread nilikuwa nataka kufungua ikawa inagoma,
Kwamba inabidi nijisajiri kwanza.... basi nikajiunga na mda mwingi sana nashinda "Jukwaa la Siasa"
Ila kwa siku lazima niripot huku MMU,
Na siku ya kwanza kuchungulia huku MMU nilivutiwa sana na Afro Denz, Miss Judith (afu nimem-miss huyu mtu), Blak Woman, Lizzy (mnoko),
The Finest, The boss, Sussy, Nyumba kubwa, Preta na wengine wote wajumbe wa huku MMU.
Then nikaanza kumuona huyu mtu....... its U Asha D, my JF special Gal....!
Sifikirii kuondoka huku jamani.

Hivi mi ni MNOKO!???Aiseeeeee.....!
 
Mimi nilikuwa nasoma kama Guest kutokana na rafiki yangu kunihadithia mambo ya kikubwa, siasa, nafasi za kazi na mengine meengi akisifia sana unaweza kuchangia na bila kujulikana nikajiunga japokuwa nilikuwa napata taabu sana kujiunga mpaka nikatuma msg kwa support@jamii.... ndo nikawa member/mjumbe

Pole Fanta Face kwa shida ulopata mwanzoni wakati wa ku register
the good thing hukukata tamaa na sasa tupo pamoja...

Thank you for sharing...
 
Na kweli wewe ni mpambanaji...Mshukuru mkoloni wako kwa kutokuwekea mageti mazito mazito kama high security prison!
Hhahhahahah...asante mzee DC!Mi mkoloni ataniwezea wapi...akileta maneno nampiga saundi(usanii).
 
Gaga thank you for sharing..... Na the above statement is so true lol...... usipokua mjanja kazi zinalala.... enjoy dear..

Hahahaha lol karibu asha, ni kweli kabisa usipokua mjanja kazi lazima zilale

Mimi niliingia blog flani ya udaku nikakuta kuna mada imeanzishwa sasa nikaona watu kama watatu wamecomment na kusema hii mada ingepelekwa kwa magreat thinker kule jf ndio ingenoga ihamishieni kule. Si ndio nikashawishika na kugoogle nijue hiyo jamii forum ina nini kwani, lol

Kuingia tu nilivyonabahati sijui mbaya na ungo wangu nikadondokea MMU salaaale mbona nikawa sibanduki, na nimewaambukiza watu wote hapa ofisini maana walikua wanashangaa huyu mbona siku hizi anacheka cheka peke yake kuna nini?

Kuna mmoja alinilaumu alisahau kuandika ripoti na siku hiyo ndio ilikua deadline, hatosahau

He! kwaherini jamani nimesahau kama sijamalizia kazi mwe!
 
Hahahaha lol karibu asha, ni kweli kabisa usipokua mjanja kazi lazima zilale

Mimi niliingia blog flani ya udaku nikakuta kuna mada imeanzishwa sasa nikaona watu kama watatu wamecomment na kusema hii mada ingepelekwa kwa magreat thinker kule jf ndio ingenoga ihamishieni kule. Si ndio nikashawishika na kugoogle nijue hiyo jamii forum ina nini kwani, lol Kuingia tu nilivyonabahati sijui mbaya na ungo wangu nikadondokea MMU salaaale mbona nikawa sibanduki, na nimewaambukiza watu wote hapa ofisini maana walikua wanashangaa huyu mbona siku hizi anacheka cheka peke yake kuna nini? Kuna mmoja alinilaumu alisahau kuandika ripoti na siku hiyo ndio ilikua deadline, hatosahauHe! kwaherini jamani nimesahau kama sijamalizia kazi mwe!

Maty me love ulicho post... It is so true... hio ya report i can not imagine
maana ukichemka unachemka kimoja for inahitaji your whole attention katika
hio report... Thank you kwa kunikaribisha dear... Be blessed'

Thank you for sharing....
 
Back
Top Bottom