Kwa nini jela zetu zinanyanyasa sana wafungwa? Jela inatakiwa kwa sehemu ya amani

Blessing

JF-Expert Member
Apr 21, 2009
271
11
Nimetempea sana nchi za nje na kuona wafungwa wanahudumiwa kwa ustarabu na amani. Lakini hapa kwetu au nchi za afrika wafungwa wanakua treated kama wanyama kwa nini ?

Ya pili polisi atakiwi kabisa kunyanyasa mhalifu bila reason until proven guilty. Even proven guilty should be treated with dignity. Wahalifu pia ni binadamu na wanatakiwa kwa na prison safi na uhuru yakuishi katika mazingara masuri sio kulala au kuishi jela kama wanyama. Ubaya kwa mapolisi yetu awana elimu na shule imewapiga chenga kwa hiyo they have a nasty mentality of treating their fellow colleagues as animal which against the human right rules and regulations and against the law.

Tunaomba human rights waingilie kati kwa kweli -- nakuna wafungua sana huko more than 5 to 10 years case yao ijasikilizwa kwa nini ??? What type of goverment do we have in this country kwa kweli ??? It is sickny
 
Check it out the movie...''Felon''.....angalia yule askari aliyechinjwa!! Hii hope itakuja bongo mida si mirefu!!
 
Back
Top Bottom