Kwa nini iwe ni Tanzania tu na siyo Rwanda, Uganda na Kenya?

Ni kweli kwamba maisha ni magumu hata huko, nafuu ni kwamba wananchi wengi huko don't give a shit to crude politicians au mtu anayewadanganya! Hapa kwetu hali ni tofauti, wananchi hawajui haki zao na wakizijua hawana ujasiri wa kuzitetea!

Asikudanganye mtu,
Wananchi wa kenya wangekuwa wanajua haki zao wasingekuwa wanafuata siasa za mkumbo wa kikabila wala wale jamaa hawajui haki zao labda haki za kabila(samahni wakenya kama nimewaudhi). Leo, hii Ruto ,Uhuru(kiongozi wa ------utamalizia) na nyoka msaliti Msyoka wameuungana na wananchi wa makibila yao wameungana nao wanajiita KKK. Its a BIG SHIT. Ocampo asipofanya mapema Raila hana lake. SHIT SHIT and SHIT. Ufisadi ulioko kenya ka dowans ni cha mtoto.
 
afrol News, 20 October - In the annual corruption index, presented today by Transparency International (TI), Botswana again was named Africa's by far less corrupt country. Nigeria was found at the bottom end, close after Chad, Côte d'Ivoire, Congo Kinshasa, Angola, Kenya and Cameroon. The world's "cleanest" country was found to be Finland, while the most corrupt was Haiti.

source
http://www.afrol.com/articles/14602
 
Ndugu zangu,
Inavyoonekana hii hali ya maisha kuendelea kuwa mbaya inatukumba watanzania tu. Wenzetu wakenya, waganda na warwanda mambo yao yanaendela vizuri tu. Viongozi wetu wamekuwa wakisingizia 'hali mbaya ya kiuchumi duniani' lakini kwa nini hali hiyo itukumbe na kuleta madhara makubwa waTZ kuliko wenzetu niliowataja!! Ni nini walichofanya wenzetu kiasi cha kutotetereka kiuchimi??

Toa data sio maneno ya uswahili tu. Kwa mfano ungesema bei ya mafuta ikoje kwa wenzetu,sukari,nafaka nk sio porojo!
 
Naona kidogo unamatatizo ya kujuwa yatendekayo duniani, sasa nataka utueleze, Jee tatizo hili wewe unalo hapa Tanzania:

Rwanda: Ingabire exposed to torture-FDU
Tunaenda na facts sio porojo tu,hongera sana mkuu! Watu wasipo kua makini watadangaywa sana humu JF! Nakugongea thanks
 
Its true, nina rafiki Mkenya ananiambia huko alhamdulilah Kibaki anajitahidi. Wako mbali kidogo. Hiki kimeo ni chetu peke yetu east afrika nzima.

Kenya life iko tait sana! Njaa hasa ukame maeneo ya kaskazini! Mafuta bei juu! Gap la walio nacho na wasio nacho ni kubwa sana! Nafaka bei kubwa sana! Lakini kama mko kisiasa hapa JF mnadanganyana sana!
 
Back
Top Bottom