Kwa nini iwe ni Tanzania tu na siyo Rwanda, Uganda na Kenya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini iwe ni Tanzania tu na siyo Rwanda, Uganda na Kenya?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gosbertgoodluck, Mar 6, 2011.

 1. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #1
  Mar 6, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu,
  Inavyoonekana hii hali ya maisha kuendelea kuwa mbaya inatukumba watanzania tu. Wenzetu wakenya, waganda na warwanda mambo yao yanaendela vizuri tu. Viongozi wetu wamekuwa wakisingizia 'hali mbaya ya kiuchumi duniani' lakini kwa nini hali hiyo itukumbe na kuleta madhara makubwa waTZ kuliko wenzetu niliowataja!! Ni nini walichofanya wenzetu kiasi cha kutotetereka kiuchimi??
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Siri kubwa ya Kenya ni UWAZI.
  Bunge la Kenya lina uwazi, ambapo kama nitatumia asilimia, then Kenya ni 80% wakati Tanzania ni 40%. na kwa wao inapofikia maslahi ya Taifa lao, wanasahau itikadi!...Pia hali hiyo hiyo ipo Rwanda...Kule rais ana kauli ya KIUME...Akisema jambo linatekelezwa...na ukipatikana umeiba senti ya serikali, utaomba ardhi ipasuke!
  Matokeo yake ni kwamba hadi raia wa chini kabisa anapata keki ya Taifa...na hivyo unafuu wa maisha.
   
 3. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Tatizo wanawadanganyika watu wakifikiri waTZ bado mamuma. Watu sasa wana access to information which is power.
   
 4. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #4
  Mar 6, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Asante PJ. Maelezo yako naunga mkono kwa asilimia 100. Kwa bunge let waTZ utaifa ni zero. Tunaendekeza 'uchama' badala ya 'utaifa'.
   
 5. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #5
  Mar 6, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Tutaendelea kuwa na hali hii hata akija nani bila ya wananchi kubadilika!
   
 6. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #6
  Mar 6, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  tatizo watanzania wengi hasa wanaoshabikia ccm, baadhi ya wabunge wa ccm, baadhi ya viongozi wa ccm, baadhi ya viongozi wa serikali akili zao chupi mkononi
   
 7. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #7
  Mar 6, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Another point! It is true, lazima wananchi wenyewe tujilaumu kwa kuwapatia madaraka makubwa watu ambao hawafai kuwa hata wenyeviti wa serikali za mitaa. Watanzania tunahitaji kubadilika kifikra. Vinginevyo, nchi zote duniani zitatuacha tunaendekeza uchama badala ya utaifa. Kila jambo linapelekwa mezani kwa spika wabunge wanajadili kwa mtazamo wa 'maslahi kwanza kwa chama na taifa baadaye' badala ya 'maslahi kwanza kwa taifa na chama baadaye'.
   
 8. a

  atieno Senior Member

  #8
  Mar 6, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 151
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asante kwa kuliona hili, sijui tuwafanyaje hawa watu, hawajifunzi hata kidogo, ushabiki umewazidi hata kwa mambo yasiyohitaji ushabiki
   
 9. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #9
  Mar 6, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kwa idadi ya sasa ya wabunge wa chadema angalau sauti ya kupinga masuala yasiyo na tija kwa taifa itasikika zaidi. Ni bahati njema sana, kadri siku zinavyosonga mbele ndivyo watanzania wengi wanavyopata hamu ya kufuatilia kinachoendelea bungeni. Na kwa njia hiyo, wabunge wasiojali maslahi ya taifa watadhihirika waziwazi na kuadhibiwa na wananchi kwa njia au namna yoyote itakayoonekana inafaa.
   
 10. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #10
  Mar 6, 2011
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Mnaamuwa sasa kudanganya binadamu kinaga ubaga, maisha kenya ni magumu mno kwa mwananchi wa kawaida , acheni kutuzuga hapa.
  Tena kenya polisi wanava nguo kiraia ili kuibia watu, ukizubaa zubaa wanakutia sero ili uwape chao, na hapo wamekuhurumia sana, wasipokuhurumia wanakuchapa risasi.

  Kila siku ktk mji wa Nairobi wanakusanya maiti pale. Tena ukifika kama pale jommo kinyata asikari aliyevalia kiraia anakuita kisiiii kisiiii .Acheni kuzuga watu semeni ukweli aisii.

  Kupitia kenya bei ya nauri ni cheap sana kulinganisha na Dar lakini mhhhh jommo kinyata sishuki pale.
   
 11. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #11
  Mar 6, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,155
  Trophy Points: 280
  Naona kidogo unamatatizo ya kujuwa yatendekayo duniani, sasa nataka utueleze, Jee tatizo hili wewe unalo hapa Tanzania:

  Rwanda: Ingabire exposed to torture-FDU

  Soma zaidi: Rwanda: Ingabire exposed to torture-FDU - NGO News Africa

  Problems in Uganda

  soma zaidi: Problems in Uganda, Uganda Problems

  Kenya still bleeds


  The police are still killing civilians with impunity, corruption is still rampant, nepotism and partiality in government are still deeply rooted and hunger, famine and hopelessness are bartering over sixty five percent of the population yet our leaders are deeply immersed in negative politics of division.

  Soma zaidi:KENYA STILL BLEEDS « Jaluo

  Halafu mtu kama wewe unataka kutuambia Tanzania tuna matatizo? na ma "Great Thinkers" wanashadidia na kukuunga mkono? Tazama sura yako!
   
 12. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #12
  Mar 6, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ni kweli kwamba maisha ni magumu hata huko, nafuu ni kwamba wananchi wengi huko don't give a shit to crude politicians au mtu anayewadanganya! Hapa kwetu hali ni tofauti, wananchi hawajui haki zao na wakizijua hawana ujasiri wa kuzitetea!
   
 13. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #13
  Mar 6, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Tafadhali jitahidi kuwa makini unaposoma threads na kuchangia. Theme kubwa ya thread hii ni UCHUMI lakini wewe umeenda kukopi ma-references yako yasiyo na mbele wala nyuma na kupaste hapa jamvini bila kujali kama yana uhusiano na somo au la. Kama ni wananchi kuuawa hivi ni lazima bunduki itumike ndipo useme fulani kauawa!!! Huo ndiyo mtazamo ninaopinga siku zote. Ni watanzania wangapi wanaokufa mahospitalini kwa sababu tu ya kukosa huduma bora za kiafya?? Ni wanawake wangapi wanaofariki wakati wa kujifungua kwa sababu tu ya kukosa huduma basic za uzazi?? Watanzania ifike mahali tuache kutenda dhambi kwa kujiona tuna amani wakati maelfu ya watanzania wenzetu wanakufa kwa sababu ya uzembe tu wa viongozi wetu.
   
 14. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #14
  Mar 6, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,155
  Trophy Points: 280
  Labda hukumsikia Beno akitangaza kinaga ubaga kuwa Tanzania ndio nchi yenye reserve kubwa ya fedha za kigeni katika Afrika Mashariki!
  Kama uchumi mbaya utakuwaje na reserve kubwa?

  Nakuasa wacha kuandika usiyoyajuwa.
   
 15. m

  mshikachaki Member

  #15
  Mar 6, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  hawa watu wengine mawazo yao ni mfu(dead mind) sjui ni matabura lasa, huku kwetu hali mbaya sana na haya maoga ndiyo yametufikisha hapa wakisikia serikali ya ccm imesema hivi wanaweka mkia makalioni **** sisi ndio wa kuukuza huu uchumi hasa kwa kuyaondoa mafisadi ya ccm.kule mjengoni utasikia anapinga baadaye ;;;;naunga mkono hoja si ushanzi huu: aaaa--siataki kusikia habari za ccm labda za cdm
   
 16. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #16
  Mar 6, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kweli wewe ni sisiem damudamu. Hiyo takwimu ya reserve inamsaidia nini Mtanzania wa kawaida??? Ndiyo tatizo lenu kulisha wananchi 'takwimu tena za kupikwa' badala ya kuwalisha chakula. Nikisikia mtu anaongelea kukua kwa uchumi nchi hii huwa najisikia kichefuchefu na kuzima tv/radio kabisa. Ni upuuzi tena upuuzi usiomithirika kuwaambia watanzania eti 'inflation rate' inashuka wakati bei za bidhaa sokoni zinapaa kila kukicha. Watanzania wameshajanjaruka. Hawadanganyiki tena na matakwimu yenu ya kupikwa. Subiri kidogo mwisho wa takwimu zenu hizo uchwara ubaisha hodi mlangoni.
   
 17. m

  mshikachaki Member

  #17
  Mar 6, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  wakati anaquote atuambie napage number na hiyo article ni ya lini,peleka ujinga wako kule


   
 18. m

  mshikachaki Member

  #18
  Mar 6, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  mh we vipi na ndulu wako,unamsemea mtu anayekarabati nyumba kwa bilioni mbili huyu ni fisadi wala hatutaki harufu yake
  we umesahau ndulu akisema kwamba pesa mpya haiwezekani kuchakachua na zinadumu muda mrefu au haukuona
  juzi hapa serikali ilikopa fedha kwa taasisi zake ili ilipe mishahara haukulipata hilo,mbona nkulo alisema nchi ina fedha ni zipi hizo au za kukopa?kauli za hawa jamaa ni za kufalsefy the truth siku zote:
   
 19. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #19
  Mar 6, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Nina muda mrefu sana tangu niache kutumia takwimu za kiuchumi za serikali ya sisiem. Ilinichukua mrefu mrefu kubaini mapungufu ya takwimu hzio. Kumbe ni takwimu zinazotolewa ili kukidhi matakwa ya kisiasa for personal gain and not the general public.
   
 20. f

  furahi JF-Expert Member

  #20
  Mar 6, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 947
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Its true, nina rafiki Mkenya ananiambia huko alhamdulilah Kibaki anajitahidi. Wako mbali kidogo. Hiki kimeo ni chetu peke yetu east afrika nzima.
   
Loading...