Kwa nini Israel iruhusiwe kuwa na silaha za nyuklia? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini Israel iruhusiwe kuwa na silaha za nyuklia?

Discussion in 'International Forum' started by mdau wetu, Sep 27, 2011.

 1. m

  mdau wetu JF-Expert Member

  #1
  Sep 27, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 548
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Waziri Mkuu wa Uturuki amesema kuwa nchi za Magharibi zinaendesha siasa za nyuso mbili katika suala zima la silaha za nyuklia.
  Recep Tayyid Erdogan amesema hayo alipohojiwa na televisheni ya CNN na kuongeza kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel ndio utawala pakee unaomiliki silaha za nyuklia katika eneo la Mashariki ya Kati na kuhoji akisema, vipi nchi hizo ambazo zinaizuia Iran kuwa na silaha za nyuklia haziipigi marufuku pia Israel kumiliki silaha hizo?
  Uturuki imepunguza kwa kiasi kikubwa uhusiano wake na utawala wa Kizayuni wa Israel baada ya Tel Aviv kukataa kuomba radhi kutokana na makomandoo wake kuuvamia msafara wa meli za misaada uliokuwa unaelekea Ghaza tarehe 31 Mei, 2010 na kuua raia tisa wa Uturuki.
  Hata hivyo mapema mwezi huu, Waziri wa Uchumi wa Uturuki alisema kuwa nchi yake itaendelea kuwa na uhusiano wa kawaida wa kibiashara na utawala dhalimu Israel.
  Takwimu zinaonyesha kuwa, mabadilishano ya kibiashara kati ya Uturuki na utawala wa Kizayuni yalifikia dola bilioni 2.3 kuanzima mwezi Januari hadi Julai mwaka huu.

  Kwa hisani ya Redio Tehran
   
 2. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #2
  Sep 27, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Hakutakiwi kuwa na nchi yenye haki kuliko nyingine duniani. Hivyo nchi yoyote ikiamua kumiliki silaha za nuklia, au nyinginezo, ina haki ya kutokupigiwa kelele, hasa na walio na silaha hizo!
   
 3. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #3
  Sep 27, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Israel imezungukwa na maadui pande zote hivyo ni vizuri ikawa na silaha za nyuklia za kujilinda! Hata hivyo sina uhakika kama Israel ni signatory wa Nuclear Non-Proliferation Treaty!
   
 4. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #4
  Sep 27, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  Israel = usa
   
 5. Z

  Zion Train JF-Expert Member

  #5
  Sep 27, 2011
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 503
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  wamarekani wanajiongezea tu kutafuta mataifa ya kuwachukia, yani chenye manuafaa kwao ndicho wanachofanya, watu sasa wamechoka hakuna kama zamani taifa kubwa sijui nini, angalia syria ama yemen waandamanaji wanavyokufa, lakini NATO kuna nini wanachofanya? ama Bahrain wanajeshi wa saudia walikuwa wanakwenda kuua wanaoandamana nani anajali hakuna, kwanini hakuna, yemen na syria hawana ambacho mataifa ya magharibi itakipata na bahrain tayari himo mikononi mwao, yani hii dunia inavyoendeshwa unaweza kupata wazimu ukifikili sana.
   
 6. Achahasira

  Achahasira JF-Expert Member

  #6
  Sep 27, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu hapo umenena yaani hata mara nyingine unapenda ufe mapema maana yake vita ya tatu ya dunia yaja
   
 7. Achahasira

  Achahasira JF-Expert Member

  #7
  Sep 27, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hiyo wameanzisha mataifa ya kimagharibi ili iwe wenyewe wawe wanauwezo wa kuzitumia wanavyotaka. eti israel iwe inajilinda,mkuu mbona palestina waliingiliwa bila hodi alafu unataka watu wacheke na israel.makosa wameanzisha wenyewe alafu wanataka peace.
   
 8. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #8
  Sep 27, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  Duniani hakuna haki labda mbinguni............mnasahau kuwa huku home CCM ina manufaa mengi kuliko upinzani?
   
 9. Sijali

  Sijali JF-Expert Member

  #9
  Sep 27, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 2,054
  Likes Received: 405
  Trophy Points: 180
  LordJustice umefikiria uliyoyasema au wewe pia ni katika wale 'friends of Israel' ambao chochote Waisraeli wafanyacho ni sawa? Hata Iran imezungukwa na maadui, jee iwe na silaha za nuklia?
   
 10. Nkwesa Makambo

  Nkwesa Makambo JF-Expert Member

  #10
  Sep 27, 2011
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 4,765
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Inategemea ratio ya vichaa na wazima katika taifa,Mataifa mengi ya kiarabu na kiajemi vichaa ni wengi kuliko wazima,hii inatokana kwa kiasi kikubwa na mfumo wao wa maisha waliorithishwa na Marehem Muhamad,Idadi ya vichaa kati ya Waisrael ni wachache mno kiasi kwamba hata uchaguzi ukifanyika ni vigumu mno kupata kiongozi kichaa,hata akipatikana kichaa anaweza akawa peke yake kiasi kwamba maamuzi ya ukichaa wake yatashindwa kutekelezwa,Laikin kwa nchi za Kiislam idadi ya vichaa ni wengi kiasi kwamba uchaguzi wowote ule utazaa idai kubwa ya viongozi vichaa wenye maamuzi ya kichaa,hivyo kwa kuwa Israel ipo katikati ya vichaa ni busara ya kawaida kuruhusu imiliki silaha za nuclear kwa imani kwamba matumizi yake yatakuwa pale tu ambapo atasukumwa na mmoja wa vichaa wanaomzunguka kama njia nyingine zozote zikishindikana na bado anaouwezo kwa kujidhibiti hata katika hali ya kubughuziwa na vichaa wanaomzunguka, kama silaha za nuclear zikiruhusiwa kwa vichaa kama ahmednejjad et al,wategemea nini,dunia itakuwa si mahala salama kwa maisha
   
 11. Mlamoto

  Mlamoto JF-Expert Member

  #11
  Sep 28, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 347
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Nimependa mno uchambuzi wako. Na ndo ukweli! Historia imethibitisha hayo yote uliyoyaandika. Hongera Mkuu.
   
 12. D

  Dariser Member

  #12
  Sep 28, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Israel hakusain NPT na hiyo ni excuse nzur kwake pamoja na kuwa na vigogo wakimlinda lyk USA
   
 13. D

  Dariser Member

  #13
  Sep 28, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sahihi!,waarabu ni undefined!
   
 14. D

  Dariser Member

  #14
  Sep 28, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kufa haufi mkuu ila utashuhudia cha moto!
   
 15. Kapo Jr

  Kapo Jr JF-Expert Member

  #15
  Sep 28, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 935
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 60
  Unafiki wa marekani kwa mataifa yanayoendelea,wao wana silaha za nyuklia kisha wanawasema wengine.lengo lao ni vita ya tatu ya dunia ili wanemeke kama 1WW na 2WW wanawafagilia Israel cause ndo waundaji wa silaha zote za marekani Israel wanawapiga palestina UN Kimya-ni umoja wa mataifa au taasisi ya marekan
   
 16. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #16
  Sep 28, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Erdogan na serikali yake ni wanafiki vilevile kama hizo nchi za magharibi, kwanza mbona wao wamekuwa na uhusiano wa nguvu na Israel kwa miaka yote hii? Anatafuta tu kuosha sura mbele ya mataifa ya 'wapiga kelele' Hivi anataka kusema hajui Wayahudi wamechangia kiasi gani ktk teknolojia ya nuclear?
   
 17. Ishmael

  Ishmael JF-Expert Member

  #17
  Feb 21, 2015
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 15,061
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  To take care of MIDDLE EAST.
   
 18. Yusomwasha

  Yusomwasha JF-Expert Member

  #18
  Feb 21, 2015
  Joined: Dec 5, 2014
  Messages: 2,131
  Likes Received: 621
  Trophy Points: 280
  Hata Iran Tayari Ana Silaha Za Nyuklia Ila Ni Kwa Siri Sana Hajitangazi Km Hao Vichaa Ya Kiyahudi Katulia 2 Kimya Yeye C Mjinga Akae Bila Nuclear Weaponx Ilhali Anatishiwa Kushambuliwa Na Israel
   
 19. Yusomwasha

  Yusomwasha JF-Expert Member

  #19
  Feb 21, 2015
  Joined: Dec 5, 2014
  Messages: 2,131
  Likes Received: 621
  Trophy Points: 280
  Hata Iran Tayari Ana Silaha Za Nyuklia Ila Ni Kwa Siri Sana Hajitangazi Km Hao Vichaa Wa Kiyahudi Katulia 2 Kimya Yeye C Mjinga Akae Bila Nuclear Weaponx Ilhali Anatishiwa Kushambuliwa Na Israel
   
 20. Bill Cosby

  Bill Cosby JF-Expert Member

  #20
  Feb 21, 2015
  Joined: Sep 2, 2013
  Messages: 2,607
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Umekosea kiswahili.
  Sema Waungwana wako jirani Na ADUI MKUBWA SANA wa Binaadamu. Nae ni ISRAELI.

  Wewe ktk Historia ya Dunia hii wapi ulishaona Taifa HALINA rafiki HATTA MMOJA DUNIANI?

  Israel ni Taifa pekee Duniani Lisilo na rafiki wa kweli.

  Hao wanajiita marafiki wa Israel Wote wanasema hivyo kwa maslahi tu. Na hayo wanayasema Wazi kabisa.

  Hii nchi inatakiwa Ipanguswe kabisa duniani. israeli NI Saratani ya Dunia.
   
Loading...