na nyenyere alikuwa mgalatia mwenzaoAlikuwa muislam
Mkuu jasusi heshima mbele,kwanza asante kwa kuwahi kuweka sawa mambo hapa.lakini mpaka sasa uganda inaaminika kuwa na jeshi bora kabisa la anga afrika mashariki toka enzi za KjAR kuweka headquarter ya jeshi ka anga huko,sababu za kikosi kizima(na vifaa?) kuangamizwa ni ngumu kudhibitisha,hebu tusaidie kufafanua hili mkuu,wale wana jeshi la anga,kuuwa jeshi la anga mkuu! Imenistua kidogo.natangulisha heshima mkuu.Hapana. Msipotoshe hapa. Idi Amin mwaka 1972 hakuwa na jeshi la hewa. Baada ya kumpindua Obote aliwaita wanajeshi wote wa kikosi cha anga na waliokwenda akawaua. Waliosalimika baadhi walikimbilia Tanzania. Akaanza kujenga kikosi kipya. Amin asingekuwa na uwezo wa kuishambulia Tanzania wakati huo. Hata pale aliposhambulia Mwanza kwa mabomu mwaka 1973 ndege zake zilipita kwa mbali kwa sababu ya kuogopa kutunguliwa ndio maana mabomu yake yalianguka kwenye kisiwa cha Nane Nane.
Ni kweli Uganda had the best air force in East Africa. Shule ya marubani wa ndege naturally ilikuwa Uganda. Lakini baada ya Amin kumpindua Obote hakuwaamini kabisa wanajeshi wa kikosi cha anga kwa hiyo akafanya njama kuitisha mkutano. Wote waliokwenda waliuawa. Waliobaki waliweza kutorokea Tanzania. Hebu jiulize wakati wa vita vya Kagera kwa nini Amin hakutumia ndege zake kutushambulia? Na huyu ndiye aliyekuwa anatishia kuwa atateka eneo la Tanzania hadi Tanga. Ndege zake zilikuwa hazifanyiwi matunzo tena kwa sababu most of the senior and experienced pilots had been killed. Soma kitabu cha David Martin "Idi Amin" analizungumzia kwa kirefu suala hilo.Mkuu jasusi heshima mbele,kwanza asante kwa kuwahi kuweka sawa mambo hapa.lakini mpaka sasa uganda inaaminika kuwa na jeshi bora kabisa la anga afrika mashariki toka enzi za KjAR kuweka headquarter ya jeshi ka anga huko,sababu za kikosi kizima(na vifaa?) kuangamizwa ni ngumu kudhibitisha,hebu tusaidie kufafanua hili mkuu,wale wana jeshi la anga,kuuwa jeshi la anga mkuu! Imenistua kidogo.natangulisha heshima mkuu.
hawakuwa taabani-mwishoni wa mwaka 1972 walikuwa wanapigana vitaWaisrael wenyewe walikuwa Taabani wakati huo. Walikuwa wanatagemea kila kitu kutoka kwa Bwana wao USA.
Nchi yenye jeshi bora la anga kwa dunia ya sasa ndio tishio zaidi.tumeshuhudia wamarekani wameshinda vita vingi kwa kutumia sana jeshi la anga hivyo kuwaachia kazi ndogo sana askari wa miguu.Waganda wanasifika sana kwa ubora wa jeshi la anga na kama kweli wanacho mpaka chuo lazima tukubali wanaweza kuwa superpower kijeshi Afrika Mashariki na kati,nafikiri ule ushindi wetu mwaka 79 usitudanganye,Museveni amejenga jeshi bora sana na bajeti yake ya jeshi ni kubwa kupitiliza hadi mataifa ya nje kupiga kelele.sisi ndio hao tunanunua helcopta feki zinadondoka hovyo! Sijui kama kuna operation gani kubwa na ngumu ukitoa vita vya kagera tunayoweza kutumia kupima uwezo wetu kijeshi nyakati hizi.tafadhali tusitaje ya commoro,kule hata mgambo wa jiji wangeshinda tu!Ni kweli Uganda had the best air force in East Africa. Shule ya marubani wa ndege naturally ilikuwa Uganda. Lakini baada ya Amin kumpindua Obote hakuwaamini kabisa wanajeshi wa kikosi cha anga kwa hiyo akafanya njama kuitisha mkutano. Wote waliokwenda waliuawa. Waliobaki waliweza kutorokea Tanzania. Hebu jiulize wakati wa vita vya Kagera kwa nini Amin hakutumia ndege zake kutushambulia? Na huyu ndiye aliyekuwa anatishia kuwa atateka eneo la Tanzania hadi Tanga. Ndege zake zilikuwa hazifanyiwi matunzo tena kwa sababu most of the senior and experienced pilots had been killed. Soma kitabu cha David Martin "Idi Amin" analizungumzia kwa kirefu suala hilo.