Kwa nini inatokea mtu anapend kula udongo.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini inatokea mtu anapend kula udongo..

Discussion in 'JF Doctor' started by seer, Aug 24, 2009.

 1. s

  seer Member

  #1
  Aug 24, 2009
  Joined: Apr 2, 2009
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani wa jf wenzangu nisaidieni katika hili nivi karibuni nimedevelop tabia ya kupenda kula udongo , hivi nini hasa kimenisababishia? nifanyeje niache kwani sio mjamzito.......
   
 2. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  umekosa madini ya iron kwenye mwili wako, jitahidi kutafuta iron supplements.Ukipata haya madini kwenye mwili wako tatizo la kula udongo litaisha.
   
Loading...