Kwa nini Ikulu kusijengwe uwanja wa ndege mdogo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini Ikulu kusijengwe uwanja wa ndege mdogo?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Boflo, Mar 2, 2011.

 1. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #1
  Mar 2, 2011
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kwa kuwa rais wetu ni mtu wa kusafiri safiri sana, nilikuwa na wazo la kujengwa uwanja wa ndege mdogo,ambao ungetusaidai hata na sisi watumiaji wa barabara kuepukana na msongamano mkubwa wa kuzuia njia wakati rais anapokwenda na kurudi airport, au mnasemaje??
   
 2. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #2
  Mar 2, 2011
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  au karibia na airport kujengwe ikulu ndogo ili awe anapaa na kutua huko huko.
  JeyKey ana hobby nzuri ya kusafiri:))
   
 3. CPU

  CPU JF Gold Member

  #3
  Mar 2, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kwa kuzingatia eneo ilipo ikulu, inawezekana kujenga Helipad (Uwanja wa kutua Helikopta) lakin sio Airport coz eneo lake ni dogo sana kuruhusu ndege ikapata eneo la kuseleleka wakati wa kuruka na kutua.
  Kwa ndege zinazoruka mpaka Europe, Arabuni au America (sehemu anazoendaga sana) inahitaji ndege kubwa ambayo inahitaji runway yenye urefu usiopungua 3.5 Km
   
 4. Click_and_go

  Click_and_go JF-Expert Member

  #4
  Mar 2, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 451
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kama vipi akimbie nchi na aende hukohuko anakoenda kila siku,,,,afanye utalii tujue tz hakuna raisi!!!!
   
 5. CPU

  CPU JF Gold Member

  #5
  Mar 2, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Wangemjengea Ukonga au Gongo la Mboto nadhan angejionjea raha ya mabomu
   
 6. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #6
  Mar 2, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Seriously,

  Umefika wakati wa viongozi wakuu kitaifa kutumia helikopta kwenda/kurudi kutoka uwanja wa ndege. Itaokoa masaa ya watu wengi wanaosubirishwa mara nyingine kwa saa nzima barabarani kuwapisha. Usiombe kuwa kwenye daladala iliyojazana kinoma masaa ya joto - halafu so la kupisha viongozi linakukuta.
   
 7. kanta

  kanta JF-Expert Member

  #7
  Mar 2, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 343
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Eti kaenda kujadili mada Paris, hivi kweli nyie mnaamini anaweza kufanya hivyo? Jamaa kashindwa kuhutubia wananchi wa Gongo la mboto,alichoongea wala hakieleweki kweli ataweza kwa wazungu?tena kwa kimombo ambacho kinampiga chenga? Kaenda kutalii huyo,tena atapita juu kwa juu kwenda Mauritious kula hewa.
   
 8. sijuikitu

  sijuikitu JF-Expert Member

  #8
  Mar 2, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  labda ikulu ijengwe huko anapoendaga....haina haja ya kuijenga tanzania....pembeni ya nyumba za mabalozi kuwe kuna vi ikulu vidogo vidogo.....asiwe anahitaji kurudi kusoma hotuba zinazoleta utata.
   
 9. S

  Salimia JF-Expert Member

  #9
  Mar 2, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 665
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  The above comments are from what we call our "Great Thinkers"...I choose not to be called so if this is what it means.
   
 10. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #10
  Mar 2, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,823
  Likes Received: 922
  Trophy Points: 280
  Jamaa anatakiwa akae huko huko ulaya ili awe anafanya kazi zake za u Vasco da gama huko huko mana hata akiwa hapa Tanzania hana msaada wowote kwa nchi hii..nchi inajiongoza tu yenyewe..
   
 11. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #11
  Mar 2, 2011
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,495
  Likes Received: 2,739
  Trophy Points: 280
  Hivi lile red carpet pale air port huwa linakunjwa kweli au limeachwa open kwa ajili ya safari za Mkulu?? Inawezekana jamaa hawana hata muda wa kulisafisha zaidi wya kulitoa michanga tu!!!
   
Loading...