Kwa nini ICC inamshitaki na kumkamata Rais wa zamani wa Sudan AL bashiri wakati Sudan si mwanachama wa ICC?

moyafricatz

JF-Expert Member
Nov 27, 2015
2,900
4,865
Wanabodi,

Nimekutana na maswali mengi kuhusu tukio hili la waasi waliopo Darfur pamoja na serikali ya Sudan kutaka kumkabidhi Rais wa Zamani wa Sudan Omary AL bashiri kwa mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita (ICC).

Ikumbukwe Sudan sio Mwanachama wa ICC hivyo mahakama hiyo haina Mamlaka (jurisdictions) ya kumkamata bwana Bashiri..

Lakini Baraza la usalama la umoja wa Mataifa lina Mamlaka baada ya kuona hali husika katika nchi sio rafiki kupitisha azimio la kutaka mahakama ya uhalifu ya kivita ifungue shitaka kwa nchi husika hata kama haijasaini ule mkataba (treaty) wa ROME.

The International Criminal Court only has jurisdiction to investigate alleged crimes which have taken place in states or by the nationals of states that are party to the Rome Statute or that have accepted the Court's jurisdiction. Additionally, a situation can be referred to the ICC's Chief Prosecutor by the UN Security Council.

In the case of Darfur, the Security Council referred the situation on 31 March 2005 after the passage of Resolution 1593.[12] The resolution was passed by a vote of 11 in favor and zero against, with four abstentions. Argentina, Benin, Denmark, France, Greece, Japan, the Philippines, Romania, Russia, Tanzania, and the United Kingdom voted in favor and Algeria, Brazil, China, and the United States abstained.[12]

The Prosecutor, Luis Moreno Ocampo, formally opened an investigation on 6 June 2005.[2]

Hivi ndivyo bwana Bashiri atakavyopelekwa Mahakamani
Wenu,

Mwanasheria mbobezi.
H. A 47

IMG_20200212_083817.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kifungu ktk sheria hiyo kinaruhusu baraza la usalama la UN kuamua mtu yoyote toka nchi yoyote bila kujali kuwa ni mwanachama wa ICC, ashitakiwe. Na azimio likitoka basi Mwendesha mashitaka wa ICC ni kutekeleza, na nchi zote zinatakiwa kushiriki kutekeleza hilo azimio
 
Technically, the ICC has global jurisdiction because even if a nation isn’t a party, it would be compelled to cooperate with the court if the particular case is referred by the UN Security Council. The organization has no police force or enforcement body, so they rely on the cooperation of nations worldwide to support them if they need to make an arrest or a transference of an arrested person
 
Wanabodi,

Nimekutana na maswali mengi kuhusu tukio hili la waasi waliopo Darfur pamoja na serikali ya Sudan kutaka kumkabidhi Rais wa Zamani wa Sudan Omary AL bashiri kwa mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita (ICC).

Ikumbukwe Sudan sio Mwanachama wa ICC hivyo mahakama hiyo haina Mamlaka (jurisdictions) ya kumkamata bwana Bashiri..

Lakini Baraza la usalama la umoja wa Mataifa lina Mamlaka baada ya kuona hali husika katika nchi sio rafiki kupitisha azimio la kutaka mahakama ya uhalifu ya kivita ifungue shitaka kwa nchi husika hata kama haijasaini ule mkataba (treaty) wa ROME.

The International Criminal Court only has jurisdiction to investigate alleged crimes which have taken place in states or by the nationals of states that are party to the Rome Statute or that have accepted the Court's jurisdiction. Additionally, a situation can be referred to the ICC's Chief Prosecutor by the UN Security Council.

In the case of Darfur, the Security Council referred the situation on 31 March 2005 after the passage of Resolution 1593.[12] The resolution was passed by a vote of 11 in favor and zero against, with four abstentions. Argentina, Benin, Denmark, France, Greece, Japan, the Philippines, Romania, Russia, Tanzania, and the United Kingdom voted in favor and Algeria, Brazil, China, and the United States abstained.[12]

The Prosecutor, Luis Moreno Ocampo, formally opened an investigation on 6 June 2005.[2]

Hivi ndivyo bwana Bashiri atakavyopelekwa Mahakamani
Wenu,

Mwanasheria mbobezi.
H. A 47

View attachment 1354994

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni unafiki wa kisiasa ili kupendezesha magharibi na wakati huo huo wanaogopa kumhukumu kwani hata wao mikono yao imejaa damu.
 
Kuna kifungu ktk sheria hiyo kinaruhusu baraza la usalama la UN kuamua mtu yoyote toka nchi yoyote bila kujali kuwa ni mwanachama wa ICC, ashitakiwe. Na azimio likitoka basi Mwendesha mashitaka wa ICC ni kutekeleza, na nchi zote zinatakiwa kushiriki kutekeleza hilo azimio
Tusaidie hiko kifungu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom