Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,917
- 24,674
Kwa wale wasafiri na wafanyakazi wa mjini wataelewa hili hivi kwa nini Huduma za choo huwa hazipandi wala kushuka bei kama ilivyo Huduma zingine mfano nauli za daladala bidhaa na Nk.
Kwa muda mrefu sasa huduma hii muhimu imebaki na bei yake ile ile ya shilingi 200 per tendo,
Haina kuzidi wala kupungua haijalishi unaenda kupup(Haja kubwa) au ndogo bei ni moja,
Wakati umefika sasa wa kupandisha bei mi nimeanza kutumia hivyo vyoo tangu vyakula vinauzwa buku kwa mama ntilie mpka sasa elfu 2000 lakini huduma ya choo bado iko pale pale shilingi 200,
Haiwezekani mtu unakula chakula cha elfu 5000 alafu unaenda kupup kwa 200 kweli, Nyie wamiliki wa hivyo vyoo ebu fanyeni mpango wa kuongeza bei kidogo iwe ata 500.
CC Zero IQ