Kwa nini hivi

prianka

JF-Expert Member
Aug 29, 2012
684
168
ni kwanini mvula akikutongaza ukimkataa anakununia ,na nikwanini asikubaliane na hali halisi aliyo ambiwa :A S cry::A S cry::A S cry::A S cry::A S cry::A S cry::A S cry:
 
Inawezekana amekasirika na mengine, we jaribu kumpa....ukiona bado kakasirika, ujuwe alikuwa kakasirikia mengine :bounce:
 
hata me nahisi hivyo maana haiwezekani m2 kakupunguzia mzigo alafu wewe unamnunia haki kweli hiyo BUJIBUJI
 
We FAZA weee nitampaje wakati cmtaki bwana wewe baaaaaaaa
 
aunt huyo mvula akinuna anatoka damu? au wewe unaogopa akinuna? basi mhurumie ili acheke na wakikujua kuwa wakinuna unawapa loh watapanga foleni.
 
Hahaha, swali la msingi sana. Yaani uadui moja kwa moja, you cant joke and laugh tenaaa!
 
We FAZA weee nitampaje wakati cmtaki bwana wewe baaaaaaaa
Sa kama humtaki, vipi mpaa mda huu unamuwazia namna alivyo kasirika.

Yani we mwenyewe fikiria hapo, mpaa uje kumfungulia thread kama hii, ujuwe unamuwazia kweli kweli :biggrin1:
 
kwa nini unajali mvulana akikununia? mwanaume akitoswa anapiga moyo konde na kusonga mbele. endekeza wavulana ukione cha mtema kuni.
 
king'asti inapaswa wajirekebishe y uweke bifu wakati umeambiwa ukweli jamani
 
ni kwanini mvula akikutongaza ukimkataa anakununia ,na nikwanini asikubaliane na hali halisi aliyo ambiwa :A S cry::A S cry::A S cry::A S cry::A S cry::A S cry::A S cry:


Baadhi ya wavulana huwa na mawazo tofauti, wengine wanafikiri baada ya kuwakataa utaenda kuwatangazia mbaya mtaani, wengine wanaweza kuona umewadharau (inategemea na namna ulivyo mpiga kibuti), nk
Lakini ukweli ni kwamba, hizo fikra zao zisikusumbue, wewe ndo una haki ya maamuzi juu ya mwili wako mwenyewe, hasira na kununiwa na mtu zisiharibu ndoto zako za baadaye.
 
Labda mlishakwaruzana kwa mengine kwani haiwezekani kukataliwa halafu uchukie mapenzi haya hayalazimishwi ukinuna maana yake unalazimusha
 
me simuwazii ila nimeona nitabia ya wanaume wengi wanafanya ivo sina hata mda wa kumuwazia ikiwa ninaye wangu anaye nitosheleza ila nabaki kuwa shangaa kwa tabia zao chafu fazaa@blaine @mdida kiroho safi
 
Kwanini umnyime wakati UMEPEWA BURE YAKUPASA KUTOA BUREEEEEEE!!!!!!!
 
Haaaaaa rala1 mbona wanichekesha ivo mtoto wa mwenzio nimepewa bure nitoe bure me chakwangu hakitolewi bure wala kwa hela cha kwangu kinajali upendo na uwaminifu kadadaa
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom