kwa nini hii kazi ilinishinda....lol | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwa nini hii kazi ilinishinda....lol

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by The Boss, Aug 14, 2011.

 1. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #1
  Aug 14, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  kuna kazi zingine ngumu....
  kazi ya kupiga picha ilinishinda kkwa kweli...lol


  [​IMG]
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Aug 14, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Ushabeba box wewe? Hahaaaaa kazi ya u package handler UPS ilinishinda teh teh teh...
   
 3. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #3
  Aug 14, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kuna watu wanapiga Kazi ughaibuni miaka mitatu mtu kazi yake kutandika vitanda, kwa siku wanatandika vitanda 70
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Aug 14, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  package handler ulikutana na mambo kama hayo????????lol
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Aug 14, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Hiyo ya kutandika kitanda mbona cha mtoto hiyo....box la UPS au FEDEX si mchezo babake.
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Aug 14, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Hahahaaaa wewe u package handler ukiweza kudumu hata wiki ntakuona kidume kwelikweli. Turnover rate ya hiyo kazi iko juu sana.
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Aug 14, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  fafanua kidogo hapo..
  ugumu upo wapi?
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  Aug 14, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Ni physically demanding sana. Yaani kuinama na kuinuka nonstop halafu vifurushi vinakuja in rapid-fire fashion kwenye conveyor belt. Wacha bana....ile kazi sitaisahau. Ukimaliza shift yako kiuno nyang'anyang'a.
   
 9. M

  Matutu New Member

  #9
  Aug 14, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jaman mwenzenu mi ni mpya naitaji ushirikiano wenu
   
 10. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #10
  Aug 14, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  duh hapo hata uzazi ni ishu naona...
   
 11. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #11
  Aug 14, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ahahaha! Kuna ile ya kuokota mayai ya kuku unatembea kwa kuinama sehemu ndefu kama mita mia!
  Unafika mwisho unakuta tena kuku wameishataga tena sio mchezo
   
 12. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #12
  Aug 14, 2011
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,807
  Likes Received: 1,142
  Trophy Points: 280
  ha ha haa,mmenicha hoi sana na post zenu hizi,by the way mshkaji wangu anapiga hiyo kutandika vitanda zaidi ya mia daily
   
 13. Eshacky

  Eshacky JF-Expert Member

  #13
  Aug 14, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 966
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  <br />
  <br />
  ha! Ha, nmekumbuka ile post yke uliyokuwa unataja majina ya maduka!! Ukmaliza kupga box utaingia shop! Ughaibun Noumer.
   
 14. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #14
  Aug 14, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  hahaha ingieni 'care' ni nursing home ndio rahisi ukipata sehemu nzuri....lol
   
Loading...