Kwa nini hatujishughurishi?

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,681
1,698
Huu ni mlango unaosemekana ni njia ya chinichini iliyokuwa ikitumiwa na viongozi wakati wa Ujerumani ikiitawala Tanganyika, sasa kama kweli tungekuwa na juhudi ya kutafuta pesa mlango huu ungefunguliwa na kuwa kivutio sio tu kwa watalii bali hata wananchi wa nchi kujua historia na utaalamu walioutumia.

IMAG0101.JPG
Au tunangoja wazungu (wafadhili) watufanyie?
 
Thread kipisi..utadhani tunasikiliza vichwa vya habari vya magazeti redioni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom