Kwa nini harusi nyingi lazima zifungwe Dar es salaam?

MKATA KIU

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,854
6,209
Heshima kwenu wadau wote,

Hilo swali hapo juu linanisumbua sana kichwa changu, nimeshahudhuria harus zaidi ya 3 za jamaa zangu hapa dar na kinachonishangaza unakuta bwana harusi sio mkazi wa dar wala mfanyakazi wa dar lakin analeta harusi dar na kuingia gharama kubwa kusafirisha wazaz na ndugu zake kutoka kwao plus ndugu na wazaz wa bibi harusi badala ya kuifanyia may be mkoa anaoishi au kufanyia kazi as home sweet home..

Nimelisema hili baada ya hizo harusi kutofana unakuta marafiki aliotegemea wa dar hasa hasa school mates kuzingua kutoa michango wakati yeye ameshalipia ukumbi na vinginevyo mapema.. Ambapo mtu anaingia gharama mara 3 ambazo angeziepuka kama angefanyia harusi nyumban alipokulia au anapofanyia kazi na kuishi as ni rahis kupata sapoti ya majirani, wafanyakazi wenzake na wengineo wanaomfaham tofauti na eneo usilofahamika..

Jamani ni mawazo tu naomba mnieleweshe vizuri sababu maana niliudhuria harusi ya college mate mwalim udom ameifanya dar kusema kweli haikuendana na hadhi yake kama lecture na nilijiuliza kwa nini akuifanya dom ambapo angepata sapoti kubwa ya watu wanaomfaham hasa hasa wafanyakazi wenzake

Hii inasababishwa na nini? Au dar ndo kila kitu hadi harusi lazima zije mjini?
 
Kwangu ni kinyume kidogo,harusi nyingi zinazofanyika Dar basi bw/bi harusi majukumu yake yapo Dar.Chache zinapelekwa mikoani.
 
kwa hiyo na yako na wewe ni dar au itakuwa dar...

mjini raha wanataka photo shop..
 
Mbeya pia kuna beach inaitwa Ilolo watu kutoka mikoa tofauti huja pale; Dar, Arusha, Moro, Tanga na mingineyo.

Near by Posta Mbeya.
 
yangu naipeleka kwetu sitimbi... majirani wana :clap2::clap2: huku washkaji wana :bounce::bounce: mpaka asubuhi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom