kwa nini harusi kama hizi ndio ndoa yake udumu sana kuliko ambazo tumezoea sisi

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
405700_wed1_jpg786d74d7368091a8cf19f84beeb7dc35

405700_wed1_jpg786d74d7368091a8cf19f84beeb7dc35

405701_wed2_jpg3fc28d8f0e5830f1451ef46160970057

405701_wed2_jpg3fc28d8f0e5830f1451ef46160970057.jpeg 404975_easy_jpg515651e2a4b560ff74fd3b6aa2465b37.jpeg

404975_easy_jpg515651e2a4b560ff74fd3b6aa2465b37
405700_wed1_jpg786d74d7368091a8cf19f84beeb7dc35.jpeg

366337_happi20married20life_jpg76553d667c064e9402e2382ea2a0cf56
366337_happi20married20life_jpg76553d667c064e9402e2382ea2a0cf56.jpeg 423398_437241622985849_1460591159_n.jpg
 
za siku hizi wanafuata mali,mali ikipotea na ndoa inapotea nayo..
 
Ndoa za miaka hii hela mbele kama tie ndo maana hazidumu zilizo nyingi!!
 
Ndoa za siku hizi ni kutafuta umaarufu tuu,gharama nyingi zisizo na msingi,wanaoana kwa vigezo vya elimu,pesa,sura
 
Ndoa za miaka hii hela mbele kama tie ndo maana hazidumu zilizo nyingi!!

mimi naona tuache kuchangia iwe kama ulaya,ndoa wanakuja ndugu wa karibu mkifika kama 6 ni poa mnafunga ndoa,lakin za uku watu kibao
 
By shuve<br />
Ndoa za miaka hii hela mbele kama tie ndo maana hazidumu zilizo nyingi!!
<br />
<br />
mimi naona tuache kuchangia iwe kama ulaya,ndoa wanakuja ndugu wa karibu mkifika kama 6 ni poa mnafunga ndoa,lakin za uku watu kibao
Tena ndo hivyo tunachangia hela nyingi hata sio sababu zinazo wafanya wapige bajeti ya mamilion ya shilingi!ufahari ndo umetujaa! Mkuu
 
Hahaha, huo ugali wenye kitocheo cha sahani ya buluu imenikumbusha mbali sana japo sio zamani. Mwita Maranya nakusalimia shemeji.
 
Last edited by a moderator:
ndoa za hivyo hazina gharama wala kusumbua watu na mi msg ya kuomba mchango, ukumbi home, ng'ombe babu anatoa unga na mchele mama alilima, soda ni togwa shangaz kapika nyanya mboga haziungwi, msosi ni ugali na wali na nyama ambayo haijaungu afu huwa vinakuwa vitam balaaa. Yan gharama haizidi milioni,, afu harus za hv mara nying huwa wanapata zawad za maana.
 
Back
Top Bottom