Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,054
- 6,281
za siku hizi wanafuata mali,mali ikipotea na ndoa inapotea nayo..
Ndoa za miaka hii hela mbele kama tie ndo maana hazidumu zilizo nyingi!!
Tena ndo hivyo tunachangia hela nyingi hata sio sababu zinazo wafanya wapige bajeti ya mamilion ya shilingi!ufahari ndo umetujaa! Mkuu<br />By shuve<br />
Ndoa za miaka hii hela mbele kama tie ndo maana hazidumu zilizo nyingi!!
<br />
mimi naona tuache kuchangia iwe kama ulaya,ndoa wanakuja ndugu wa karibu mkifika kama 6 ni poa mnafunga ndoa,lakin za uku watu kibao
Tena ndo hivyo tunachangia hela nyingi hata sio sababu zinazo wafanya wapige bajeti ya mamilion ya shilingi!ufahari ndo umetujaa! Mkuu