Kwa nini hakukua waziri au naibu waziri kutoka Dar Es Salaam (kati ya Wabunge DSM?)?2010-2015? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini hakukua waziri au naibu waziri kutoka Dar Es Salaam (kati ya Wabunge DSM?)?2010-2015?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by franktemu123, Mar 14, 2012.

 1. franktemu123

  franktemu123 JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 775
  Likes Received: 299
  Trophy Points: 80
  Salam wadau!
  Nimekuwa nikijiliuliza hivi Rais anatumia vigezo gani kuteua mawaziri? huwa anashauriana na nani? nikajaribu kumuuliza mheshimiwa mmoja wa huko serikalini akaniambia kuna kama ka Quota Scheme fulani hivi at least kila mkoa ama utoe waziri au Naibu waziri sasa nikiangalia kwa mkoa wa Dar es Salaam kwa sasa haujabahatika kupata nafasi ya Uwaziri or Unaibu uwaziri (ukiwaacha Mhe. Mnyika na Mdee toka CHADEMA) hawa wengine vp? MTEMVU (TEMEKE), ZUNGU(ILALA), KIGAMBONI,KINONDONI... maana Kagera TIBAIJUKA, MAGUFULI, MWANZA(NGELEJA), MARA(KABAKA, Gaudensia), KILIMANJARO (Maghembe, Chami, Dkt. Mathayo), Pwani(Kawambwa),Moro (Dkt. Nkya, Kombani, Mkulo), Arusha (Ole Medeye), Manyara (Nagu),Singida (Nyalandu), Rukwa (Pinda) Mbeya (Mwakyembe, Mwandosya), Iringa (Lukuvi),Tabora (Sitta), Zanzibar (Nahodha, Mwinyi), Kigoma(????), Mtwara( Ghasia kweli kweli....) Dodoma (Teu), Shinyanga (Maige), Tanga (Nundu), Ruvuma (Nchimbi)Lindi (Membe) Pwani (Malima mzee wa vimwana mpaka akalizwa) duuh! n.k. je hili la uteuz haliwez kuwa na formula inayoeleweka? kwa mfano kiwango cha elimu, experience, equity esp. kwa Gender!! umri na vigezo hivyo vikawekwa wazi?
   
 2. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Vp kuhusu Makongoro Mahanga wa Segerea?
   
 3. bibikuku

  bibikuku JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 828
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Makongoro ni mbunge wa Pemba???????
   
 4. Usedcountrynewpipo

  Usedcountrynewpipo JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2014
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 3,697
  Likes Received: 2,172
  Trophy Points: 280
  C ulishaambiwa wabunge wa Dar wanafikiria kwa kutumia Masaburi? We ulitegemea wapewe uwazi Hill?
   
 5. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #5
  Oct 21, 2014
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,348
  Trophy Points: 280
  Pengine wamchukue Abbasi Mtemvu, angefoji nyaraka za zoooote familia yake!!
   
 6. Obama wa Bongo

  Obama wa Bongo JF-Expert Member

  #6
  Oct 21, 2014
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,767
  Likes Received: 2,494
  Trophy Points: 280
  makongoro ni mbunge wa wapi????
   
 7. K

  Kongi JF-Expert Member

  #7
  Oct 21, 2014
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 442
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Mbona hao mawaziri wote uliowataja ni wakazi wa Dar??
   
 8. Erythrocyte

  Erythrocyte JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2014
  Joined: Nov 6, 2012
  Messages: 44,614
  Likes Received: 25,549
  Trophy Points: 280
  huyu huwezi kumhesabu , iko wazi kwamba hakushinda , bali alikimbia na masanduku .
   
 9. Erythrocyte

  Erythrocyte JF-Expert Member

  #9
  Oct 21, 2014
  Joined: Nov 6, 2012
  Messages: 44,614
  Likes Received: 25,549
  Trophy Points: 280
  KAMANDA , HIVI UMPE UWAZIRI MTU KAMA MTEMVU AU IDD AZZAN AMA ZALINA MADABIDA uNATEGEMEA NINI ?
   
 10. Erythrocyte

  Erythrocyte JF-Expert Member

  #10
  Oct 21, 2014
  Joined: Nov 6, 2012
  Messages: 44,614
  Likes Received: 25,549
  Trophy Points: 280
  wa viti maalum , maana hakushinda bali alikimbia na masanduku .
   
 11. kwamtoro

  kwamtoro JF-Expert Member

  #11
  Oct 21, 2014
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 4,815
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
  Wa tume ya uchaguzi. Mbunge wetu mpendazoe
   
 12. kwamtoro

  kwamtoro JF-Expert Member

  #12
  Oct 21, 2014
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 4,815
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
  Wizara kufilisika kama mifuko ya hifadhi ya jamii.
   
 13. A

  Abunuas JF-Expert Member

  #13
  Oct 21, 2014
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 8,730
  Likes Received: 420
  Trophy Points: 180
  RBC umenichekesha mbayaaaaaa! da!
  mara jamaa kachomoka na masanduku ya kula! huyoooooo! mshikeni huyooooo! mwizi huyoooooooooo!
   
 14. w

  wa hapahapa JF-Expert Member

  #14
  Oct 19, 2016
  Joined: Aug 22, 2012
  Messages: 5,552
  Likes Received: 1,604
  Trophy Points: 280
  lisemwalo lipo kama halipo....
   
 15. samtz1

  samtz1 JF-Expert Member

  #15
  Oct 19, 2016
  Joined: Nov 8, 2015
  Messages: 1,144
  Likes Received: 1,188
  Trophy Points: 280
  Cjaona hata waziri mmoja wa mkoani hapo
   
Loading...