Kwa nini graduates WA UDSM WA sasa wana mawazo mgando tofauti na udsm ya enzi zile?

Nibozali

JF-Expert Member
Oct 15, 2016
572
1,055
Yaani ukikutana na graduate WA udsm WA sasa anazidiwa na mhitimu diploma. Akishamaliza kujisifia kuwa nimesoma udsm vingine hasa uwezo WA kupambanua mambo professionally utawasikitia maskini ya Mungu!

Hivi udsm ya sasa imekuwaje jamani? Au huko chuoni wamebaki wanafundishwa kusifia chuo tu na siyo kupewa elimu yenyewe?

Najua wahitimu WA udsm mtatoa povu lakini ukweli ndio huo
 
Huwezi kulinganisha mtu aliesoma UDSM na kishimundu COLLEGE kishumundu ni msomi khatar mtu anamaliza UDSM hata kupika gongo hajui
 
Yaani ukikutana na graduate WA udsm WA sasa anazidiwa na mhitimu diploma. Akishamaliza kujisifia kuwa nimesoma udsm vingine hasa uwezo WA kupambanua mambo professionally utawasikitia maskini ya Mungu!

Hivi udsm ya sasa imekuwaje jamani? Au huko chuoni wamebaki wanafundishwa kusifia chuo tu na siyo kupewa elimu yenyewe?

Najua wahitimu WA udsm mtatoa povu lakini ukweli ndio huo
product zenyewe ndo hizi hapa
MHITIMU WA UDSM AKIJENGA HOJA NDANI YA JAMIIFORUMS
 
Wengi wao n vilaza hatary
... kiingereza shida, kozi walizo soma sio compitet, ila wanajiona zaidi ya havard univarsity

Ona ata PHD zilizotoka ni shiida
Hivi mwenyekiti wa lumumba ana phd ya wapi?
 
Back
Top Bottom