Kwa nini discusion inayohusu serikali, MODS ANAONDOA?! Loh

Nalia mimi, kila mada nzuri ninayoifuatilia, baada ya dakika 5,MOD anaitoa! Jamani...

kama ipi mkuu mbona humu ndani kuna bunch of discussion zinaendelea zinahusu serikali? at least not less than ten everyday....may be u mean something else, mimi nilipost mada after 5 min sikuiona lakini sio kwamba ilitoka ilienda kwenye next pages, ukienda next next next utaikuta tu, things can not be piled up on the single page mkuu
 
Back
Top Bottom