Kwa nini devils worshippers wengi wanapenda kuvaa nguo nzito ?

Status
Not open for further replies.
je kila kinachosomwa huwa ni kweli? pia aliyeandika huenda alikuwa na mawazo kama yako(ya kusikia au kuhadithiwa au kusoma)
 
Kwa nini devil worshippers wengi wanapenda kuvaa nguo nzito hata kipindi cha joto?


Na kwa nini wengi wao huwa hawacheki cheki hovyo labda litokee tukio labda mtoto kagongwa na gari na matukio mengine yasiyo chekesha wao ndio huwa ni furaha kwao ?
Hapa hawapo,muulize jay z aliyejitangaza rasmi
 
Kwa mfano yupi?

Hebu tuwekee picha/video clip
Screenshot_2016-12-23-10-57-07_1_1.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom