Kwa nini devils worshippers wengi wanapenda kuvaa nguo nzito ?

Status
Not open for further replies.
Mkuu.
Inapotokea ajali siku zote huwa ni sherehe kwenu maana ni muda wa kupokea kafara. Ajali ikitokea na damu ile akaiona anachokifanya kama atakuwa kaacha mbali vifaa kazi nyumbani kwake basi hurudi kimya kimya mpaka nyumbani kwa ajili ya kupokea hizo baraka(damu).
Namna ya kuzipokea hizo baraka
Baraka hupokelewa kwa namna tofauti tofauti lakini namna ya kipekee kabisa ni kunawa kwa kutumia mafuta na maji maalumu. Haya maji ni adimu sana kuyapata na ktk mwaka mzima hupatikana Mara tu tena kwa masaa 2 au 3 na baadae hupotea.
Nguo nyeusi kwenu ni sawa na mavazi ya kawaida yanayovaliwa kanisani(cjui kama umeniepewa hapa).

Kucheka cheka
HAWA watu huwa na false smiling face maana huruhusiwi kuonesha true smiling face ktk upande wa 17 wa uchawi.
 
Duuuh
 
Kama kweli ww ni mmoja wa 666 members nakuomba ufanye yafuatayo: subiri mvua itakayonyesha mida ya SAA usiku. Kinga maji kiasi cha Lita 5. Chukua mafuta ya Nazi na changanya pamoja. Yahifadhi chini ya ardhi ktk kidumu cha Lita 5 kwa muda wa siku 5 na siku ya SAA sita usiku ukiwa uchi kayachukue hayo maji na yahifadhi sehemu ambayo kila MTU atayaona. Chinja paka ambae ni mpole kabisa na chukua damu hyo uchanganye na hayo maji yako na siku ya 66 toka umechinja huyo paka itatokea ajali kati ya mwenye baiskeli na pikipiki na hakikisha baada tu ya ajali ujifanye kama unawasidia ili ukate kipande cha nguo cha mmoja wao halafu hicho kipande kakiweke kwenye maji Yale ya mwanzo. Hayo maji yatakuwa ni kama chai katika maisha yako. Kunywa 2mls kila siku asubuhi kabla hujala chochote.

Angalizo:
1, kama hyo HR666 umeiweka kujifurahisha usijaribu yote haya maana lengo ni kukufanya uingie sehemu hatari sana ila INA faida followers.
2. Ukipata tatzo wakat unafanya wasiliana nami
021785666.
Narudia tena kama ID yako haiendani na uhalisia usijaribu haya yote
 
sawa mkuu
 
Malengo ya hawa jamaa mbali na tofauti wa madhehebu yaho ni... Kupunguza idadi ya binadamu ili then waweke utawala wao.. Utaona hawa jamaa wote wanafanya iyo mipango kwa njia tofauti.. Wanawekeza mabilioni ya dola kwenye project za kupunguza population.. Kutoa provision kwenye condom industry dunia nzima.. Kununua pills za kuzuia mimba.. Kupigia campeni mapenzi ya jinsia moja.. Kuweka sheria ya husua ya kufanya abortion yote haya ufanya pamoja..
umesahau ndoa za jinsia moja
 
Kama kweli ww ni mmoja wa 666 members nakuomba ufanye yafuatayo: subiri mvua itakayonyesha mida ya SAA usiku. Kinga maji kiasi cha Lita 5. Chukua mafuta ya Nazi na changanya pamoja. Yahifadhi chini ya ardhi ktk kidumu cha Lita 5 kwa muda wa siku 5 na siku ya SAA sita usiku ukiwa uchi kayachukue hayo maji na yahifadhi sehemu ambayo kila MTU atayaona. Chinja paka ambae ni mpole kabisa na chukua damu hyo uchanganye na hayo maji yako na siku ya 66 toka umechinja huyo paka itatokea ajali kati ya mwenye baiskeli na pikipiki na hakikisha baada tu ya ajali ujifanye kama unawasidia ili ukate kipande cha nguo cha mmoja wao halafu hicho kipande kakiweke kwenye maji Yale ya mwanzo. Hayo maji yatakuwa ni kama chai katika maisha yako. Kunywa 2mls kila siku asubuhi kabla hujala chochote.

Angalizo:
1, kama hyo HR666 umeiweka kujifurahisha usijaribu yote haya maana lengo ni kukufanya uingie sehemu hatari sana ila INA faida followers.
2. Ukipata tatzo wakat unafanya wasiliana nami
021785666.
Narudia tena kama ID yako haiendani na uhalisia usijaribu haya yote

Wee jamaa unawaambia mtu akaue? Tena just kwa kujaribu tu?!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom