Kwa nini couple hizi ni adimu?

Ulimakafu

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
28,903
10,534
PAIR ADIMU
Mhindi na Mswahili
Msomali na Mswahili
Mhindi na Msomali
Mzungu na Mwarabu

PAIR KAWAIDA
Mswahili na Mswahili
Mzungu na Mswahili
Msomali na Mwarabu
Mwarabu na Mswahili

Huwa najiuliza sana...?!
 
PAIR ADIMU
Mhindi na Mswahili
Msomali na Mswahili
Mhindi na Msomali
Mzungu na Mwarabu

PAIR KAWAIDA
Mswahili na Mswahili
Mzungu na Mswahili
Msomali na Mwarabu
Mwarabu na Mswahili

Huwa najiuliza sana...?!

hao niliobold mbona wapo wengi sana.....jaribu kutembea utakutana nazo.......
 
PAIR ADIMU
Mhindi na Mswahili
Msomali na Mswahili
Mhindi na Msomali
Mzungu na Mwarabu

PAIR KAWAIDA
Mswahili na Mswahili
Mzungu na Mswahili
Msomali na Mwarabu
Mwarabu na Mswahili

Huwa najiuliza sana...?!

hapo kwenye blue wapo weeeengi sana mkuu,...hata wewe ukitaka kuoa ama kuwa just girlfriend unapata tena bila usumbufu,..ila issue ni mwarabu vs mzungu_hawa jamaa hawapatani kabisaa...ndio maana hawaishi kupigana mabomu
 
mkuu kweli hao wapo,ila wachache sana,inawezkana mia kwa mmoja!na imeanza karbuni hasa kwa wahindi vs waswahili
 
Wapo ila kwa siri sana manake kuna baadh ya hzo pair ikijulikana unatengwa na jamii yako.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom