Hatuwezi kutishwa na Clouds wao wanaishi kwa kujikomba na hawajali nchi yetu ila kufanya matanuzi. Nasema hivi kamwe hatuogopi watu ambao wanatishia wananchi. Tunajua haki zetu hatuwezi kuwaogomba vitimbakwitiri wa Clouds wanaweza tu kwenda kujinyonga.Clouds FM inatangazia wananchi kwamba kuna watu wanahamasisha umwagaji damu. Kisha wanapiga wimbo wa taifa hovyo hovyo jambo ambalo mtu atadhani rais anataka kutangaza Hali ya hatari.
Clouds na CCM wanapotosha umma. Kwa nini CHADEMA wakilalamika na kutoa ushahidi wa wizi wa kura, Clouds na CCM wanatangazia watanzania kuhusu umwagaji damu? Kwa nini wasiambie tume ifute Uchaguzi tuanze upya ili tume isisababishe umwagaji damu? Kwa nini kila Uchaguzi Tume na ccm wanaiba kura halafu wanatuambia tukubali matokeo ili tusimwage damu?
Kwa nini CCM na tume wako tayari kumwaga damu kuliko kutenda haki?
Kikwete, Makame, Kiravu na Ikulu nzima wanajaribisha kuzuia lisilozuilika kama mtu kutaka kuzuia kwenda haja. CCM na hao wote walioko madarakani wataondoka tu madarakani hata kama watataka kuzuia kwenda haja. Watanzania wanataka kuondoa uchafy huo matumboni mwao na ni lazima wautoe.Mimi nashangaa hawa jamaa wanajiona wana usemi wa mwisho kwa haki za watu.. Haki ya mtu haipotea huwa inacheleweshwa tuu. Wanataka kutisha watu kwa nyimbo za Taifa! Mawazo ya kitoto sana.. Watu sasa hivi wameamka na hawatishiki katika kudai haki zao na ujinga ujinga wa one way communication kama ya Radio. Wamuite Slaa basi wamuhoji kwa nini anasema anavyosema na sio kusemea upande wanaotaka wao tuu.
Kwanza hao Clouds ndio wako mstari wa mbele kuleta hali ngumu kwa wasanii kwa kuchakachua kazi zao kwa kuuza nyimbo zao kiholela. Ukienda na elfu mbili tatu wanakutengenezea mix ya bongo fleva kwenye CD mwitu. Hivi tunategemea sasa hapo msanii atauza muziki na kupata kipato cha uhakika wakati akitoa wimbo tuu jamaa wanachakachua na unazagaa mitaani? Wanamuziki wa Tanzania wanafanywa masikini na kutegemea viingilio vya mlangoni na watu kama Clouds. Kazi yao kuchoma CD na kuziuza mitaani.
clouds watu wa ajabu sana....huyu Paul James anadiriki kusema tusahau yaliyopita....watu tuibiwe haki zetu alafu tusahau.....wana wazimu nini......hivi wamelipwa kiasi gani mpaka wawe wapumbavu namna hiyo....kweli shida mwanaharamu[/QUOTE
Hayo nimatokeo ya watu waliosomea vyuo vya uchochoroni hujulikana kwa jina la makanjanja, wenyewe wameridhika vijimshahara njiwa wacheni hao mapoyoyo
clouds watu wa ajabu sana....huyu Paul James anadiriki kusema tusahau yaliyopita....watu tuibiwe haki zetu alafu tusahau.....wana wazimu nini......hivi wamelipwa kiasi gani mpaka wawe wapumbavu namna hiyo....kweli shida mwanaharamu
watangazaji ni watu walioprove failure ya life so ni vilaza..
kama unaskiza wewe skiza miziki tena baadhi tu
hv kwanini jf and co. isianzishe radio station kama walivyo anzisha chama cha siasa kikafa?nadhani wengi wangependa kuendeleza weledi wao huko
Mnasikiliza kwanini hao makanjanja? Fanya media boycott.
chunga domo lako,oooooohooooo!watakupoteza gafla,shauriyako,usizani kama watashindwa kukujua,mdomo uliponza kichwa,ni ushauri tu kwa faida yako.Ukisusa unawapa nafasi ya KULA vizuri, dawa Ni ku wa Assassin hawa Wahuni kwanza hawana ulinzi wowote.