Mh. Chenge aligombea uspika kwa maelekezo mahsusi ya kuzima vuguvugu la kupinga matokeo ya uchaguzi lililokuwa linaletwa na Chadema. Na katika hili kwa kweli walifanikiwa sana coz waTZ wote tuli shift kwenye uchaguzi wa spika na kuanza kumsifia Sitta. Mbinu hii inatumiwa sana na usalama wa taifa. Kumbukeni kisa cha MANYOYA pale surrender bridge, wakati ul ebunge lilikuwa limetoka kufuta issue ya Richmond. Ombi langu kwa wana JF wakati wote tujaribu kucheck issues zinazotokea from all angles!!!!