Kwa nini Chatu anajifanya anajua sana kubana Wanyama?

Siwapendi nyoka wotee
Rafiki kuna warembo lakini!
11202457743_7a4170e196_b.jpg
IMG_20180803_231003_823.JPG
most-beautiful-snakes-3.jpg
detailsrharenapilecom-worldus-most-beautiful-snakes-on-earth-top-ever-with-detailsrharenapilec...jpg
 
Nalichukia hili linyoka, nimeona filamu limembana chui mpaka ulimi wote nje, limemeza mtu huko Indonesia hivyo hivyo limembana mbavu na kumbugia, nalichukia hili dudu, arggghhh!
Ungesoma kitabu cha wanyama kuhusu nyoka ungeelewa zaidi.
Chatu hajifanyi, hiyo ndio mechanism yake ya kulainisha windo lake ili asipate shida kulimeza. Tambua huyu nyoka hana meno, so hawezi kurarua nyama, amepewa uwezo wa kumeza.. na ili ameze vizuri lazima ambane mnyama aliemkamata ili kuvunja vunja mifupa ili aweze kummeza vizuri.
 
Back
Top Bottom