Kwa nini chadema wanamuona Muzungu ni mtu fair?

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,782
Jinsi niwasomavyo chadema in kama vile wanaamini kabisa haki iko kwa Muzungu, yaani Muzungu ni mtenda haki na ukimpelekea shida au tatizo lako atatoa uamuzi ulio sawa.

Ni kwa nini chadema wanaamini hivi kama Muzungu mwenyewe kwenye nchi yake hakuna usawa, iweje akupe wewe usawa?

Hamuoni kwamba mnajishusha sana kama binadamu? Kwa maana kwa kawaida mtu dhaifu haheshimiwi hata siku moja, hivyo Muzungu atamuheshimu mtu jeuri klk anayejishusha, ...
 
Ni wasitarabu kuliko sisi....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwijage na Masilingi wananifanya nisitaje jina langu kamili mbele za watu kudisclose my tribe aseeh..!!

Nimeangalia video ya Lissu na huyu balozi wetu, kiukweli kama binadamu nilie kamili, nime muonea huruma balozi wetu, ana tia huruma mnoo. so sad maana hata kujieleza kwakwe shida kidogo
 
Inahusiana vipi na Mada?
 
[QUOTE="Barbarosa, post: 30337191 Kwa maana kwa kawaida mtu dhaifu haheshimiwi hata siku moja, hivyo Muzungu atamuheshimu mtu jeuri klk anayejishusha, ...[/QUOTE]
STUPID STOP JUDGING PEOPLE BASED OF THEIR SKIN COLOUR
 
Ndiyo, tatizo liko wapi? Au wanaweza pia kwenda Japan, India, Korea au hata Kenya.
Hivi nikuulize kwa nini wakimbizi wa kiarabu huwa hawaji hapa kuomba hifadhi wakati hapa kuna amani ila wanaenda huko kwa 'mabeberu' tu?ulitaka wapinzani Waende kumlilia magufuli kuwa wanateswa na ccm?
 
Ungewauliza hilo swali hao Waarabu mimi sijui!
 
[QUOTE="Barbarosa, post: 30337191 Kwa maana kwa kawaida mtu dhaifu haheshimiwi hata siku moja, hivyo Muzungu atamuheshimu mtu jeuri klk anayejishusha, ...
STUPID STOP JUDGING PEOPLE BASED OF THEIR SKIN COLOUR[/QUOTE]

Nafikiri huo ushauri ulipaswa uwape chadema kwa maana ndicho chadema wanachofanya judging based on skin color vinginevyo wangeenda Japan, China au hata India na AK lkn wao ni strictly Muzungu!
 
Jinsi niwasomavyo chadema in kama vile wanaamini kabisa haki iko kwa Muzungu, yaani Muzungu ni mtenda haki na ukimpelekea shida au tatizo lako atatoa uamuzi ulio sawa.

Ni kwa nini chadema wanaamini hivi kama Muzungu mwenyewe kwenye nchi yake hakuna usawa, iweje akupe wewe usawa?

Hamuoni kwamba mnajishusha sana kama binadamu? Kwa maana kwa kawaida mtu dhaifu haheshimiwi hata siku moja, hivyo Muzungu atamuheshimu mtu jeuri klk anayejishusha, ...
Mzungu ni mbabe wa wababe uchwara kama huyo wako.
 
kwani CCM wanamuonaje mzungu??? wewe unadhani kwanini waziri wa mambo ya nje chini ya mwenyekiti wa CCM alitoka mbiombio kwenda kujitetea kwa 'wazungu' na kumkana bashite kwenye sakata la vita dhidi ya ushoga??? au anadhani mfadhiri mkuu wa maendeleo 'yanayo letwa' na CCM ni nani?? acha kuishi kwenye illusion, aliyekuzidi kakuzidi tu lazima ujue nafasi yako duniani, mbele ya mzungu hata serikali yako ya CCM inapiga goti!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom