Kwa nini chadema/nccr/cuf/tlp isizunguke kwenye shule za kata kutafuta wanachama? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini chadema/nccr/cuf/tlp isizunguke kwenye shule za kata kutafuta wanachama?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by mzambia, Jan 3, 2011.

 1. m

  mzambia JF-Expert Member

  #1
  Jan 3, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Mi nilikuwa nafikiria kuwa mtaji mkubwa kwa chadema/nccr/cuf/tlp kushinda uchaguzi mkuu 2015 ni kuanza kuwaandaa watoto wa shule za sekondari za kata kwa ajili ya kuwaandaa kisaikolojia kutafuta shahada za kupigia kura na kuwalisha yamini ili ifikapo 2015 viwe tayari na mtaji wa kutosha kuiondosha ccm?
  Maana ccm inawategemea sana wazee a vijijini ambao wengineo mpaka 2015 watakuwa hawapo duniani hivyo vijana kuwa na nafasi kubwa ya kufanya maamuzi sahihi na ukiangalia katiba ndo itakuwa tayari.

  Nawasilisha
   
 2. Z

  ZenaTulivu Senior Member

  #2
  Jan 3, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Si kipaumbele kwa sasa nadhani.
   
 3. m

  mzambia JF-Expert Member

  #3
  Jan 3, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Na mwaka 2015 siyo mbali sana ni jirani sana kwa hiyo biashara asubuhi, mchana mahesabu
   
 4. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #4
  Jan 4, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Ukiongelea vyuo ntakuelewa,ila kwenda shuleni itakuwa haipendezi,waache watoto wasome! Zingatia pia shule tajwa ulisema zina watoto wadogo wa miaka 12-16 ambao hawajakomaa kupata elimu ya siasa,kumbuka tulifuta siasa ili tufundishe civics/uraia . Waache wapate msingi wa maisha,siasa watazikuta mbele ya safari.
   
 5. m

  mzambia JF-Expert Member

  #5
  Jan 4, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Wazo zuri sana waende mavyuoni kote ili mwaka 2015 moto uwake
   
 6. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #6
  Jan 4, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  hivi cuf (ukiondoa pemba), nccr na tlp ni vyama vya upinzani mpaka vijihangaishe namna hiyo?
   
 7. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #7
  Jan 4, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mimi nakuunga mkono. Nazani hiyo ni hoja ya msingi sana. Nakushauri tu kama unamfahamu mjumbeyeyote wa miongoni mwa vyama hivyo mshirikishe hiyo hoja. Kwa namna moja ama nyingine utakua umetoa mchango wa uhakika na wakukumbukwa kwa vizazi vingi. usihofu kutoa mchango wako kwa jambo la maendeleo kama hilo!
   
 8. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #8
  Jan 4, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 526
  Trophy Points: 280
  Wanasubiri kwa hamu 2015 ifike ndio waanze harakati
   
 9. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #9
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Chipukizi wa CCM wanakuwa na miaka hiyo hiyo,hakuna wakati muafaka,ni vizuri wakaandaliwa kufanya maamuzi ya kisiasa mapema na wawe sehemu ya maamuzi yao.mi nafikiri waende ila wahakikishe hakuna interference na masomo na wa advocate pia kuheshimiana wenyewe kwa vyama watavyochagua si kuanza vita kwa kuwa huyu ni CCM na huyu APPT?kama wanafundishwa kuhusu mfumo wa vyama vingi kwenye somo la uraia then wasaidiwe kuwa sehemu ya huo mfumo.
   
 10. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #10
  Jan 4, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Walimu huku sisi tayari tunamwaga sumu. Msiwe na wasiwasi
   
 11. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #11
  Jan 4, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Tuko pamoja mkuu kwa mawazo yako
   
 12. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #12
  Jan 4, 2011
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,653
  Trophy Points: 280
  Si nasikia tayari walipo chuoni ni wapiga kura wao wa kuaminika?! wapiga kura 60,000!
   
 13. T

  Taifa_Kwanza JF-Expert Member

  #13
  Jan 4, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 443
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Point
   
 14. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #14
  Jan 4, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Kila mwaka wanaingia na kutoka.....
   
 15. m

  mzambia JF-Expert Member

  #15
  Jan 4, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Nashukuru kwa maoni
   
 16. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #16
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  kweli aise...hili ni jambo muhimu sana...hasa kwenye hizi shule za kata ambazo watoto wana hasira kw kusomea katika mazingira magumu...
   
 17. minda

  minda JF-Expert Member

  #17
  Jan 8, 2011
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  hao watoto watajiunga na vyama tajwa kwa sababu ya 'kutendwa' huko kwao; hivyo vyama hivyo havina haja ya kupiga kampeni.
   
 18. MKANDYA

  MKANDYA Senior Member

  #18
  Jan 9, 2011
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mtoa mada wazo lako ni jema kabisa, kuweza kuwapata hawa wapiga kura kutoka kwenye kundi hili la vijana walioko mashuleni yanao tendwa na ccm.Ila pia kwa maoni yangu; itakuwa ni vyema zaidi kwa hivi vyama kutumia wanachama wao kwenda huko mashuleni KUJITOLEA kufundisha; kwa kuzingatia kwamba vyama hivi vina wasomi wengi tu kuweza kufundisha masoma mbalimbali kwenye hizi shule zilizotendwa na ccm. Kwa kufanya hivyo itakuwa ni njia mojawapo kuonyesha kuwa vyama hivi vinajali elimu ya hawa vijana; pia kuwaandaa kuwa watanzania walio elimika na kuindoa dhana ya ccm kwamba "vyama vya upinzani havina vitendo"
   
Loading...