Kwa nini CHADEAMA wanabwagwa na CUF kwenye midahalo?

Shinto

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
1,781
96
Nimefuatilia midahalo mitatu baina ya vyama vyetu vikubwa vya upinzani wakiwemo na CCM muda mwingine, kilichowazi ni kuwa kwa wachambuzi huru wanaona CUF hufanya vizuri kuliko CMD kwenye midahalo yote iliyowahi kufanyika..

Anza na ile wa HR vs Mbowe, HR alionyesha umahiri na ukomavu wa kisiasa, wakati Mbowe akidhihirisha uchanga na jazba za kishabiki zisizo na maana.

Ukaja mdahalo wa Jusa v Nape v Marando..
Same story Jussa aliweza kueleza vizuri falsafa za chama chake, akimuacha mkongwe Marando akishindwa kujieleza vema.. Hata magazeti yanayoelemea CHADEMA yalimpa Ushindi mkubwa Jussa dhidi ya Marando..

Juzi madahalo wa wagombea Ubunge Igunga, Mahona wa CUF, Kashindye wa CDM na Kafumu wa CCM hali ilikuwa kama hivyo. Magazeti yanampa ushindi mgombea wa CUF..

Swali ni kuwa, ikiwa CHADEMA kinachojiita chama makini, cha wasomi tena vijana, mbona hugaragazwa na wale tunaowakejeli kuwa hawakwenda shule na sio makini?
Pili mbona CDM husimamisha watu wazee waliochoka tofauti na image wanayotaka kuijenga juu ya chama chao?
 
Mbona huongelei mdahalo wa Kikwete, Lipumba na DR.Slaa?
 
we wacha tu, bado kuna mijitu haitambui hilo. ujinga mbaya
 
Nivyema ukaangalia hoja zinazo tolew bungeni na sio midahalo inayoambatana na jazba.
 
Mtoa mada kanena,japokuwa huo mdahalo wa Iguga sijauona,ila ule wa Nape v Jusa V Marando niliuona,Jussa alikata issue vizuri sana.....
 
Mbona huongelei mdahalo wa Kikwete, Lipumba na DR.Slaa?

Mkubwa suala limefika mahala pake ila sijui wewe unaonaje hili suala na kama CDM ingekua ya vijana peke yao sijui kama tutafika kwani
hamna taifa ambalo lina vijana peke yao.
 
mkubwa suala limefika mahala pake ila sijui wewe unaonaje hili suala na kama cdm ingekua ya vijana peke yao sijui kama tutafika kwani
hamna taifa ambalo lina vijana peke yao.

nani kasema cdm ya vijana pekee?

Dr. Slaa ni kijana?
Prof. Kahigi na mwenzake baregu nao ni vijana?

Ni mchanganyiko lakini vijana wengi wanakiunga mkono
 
Kweli chadema ni chama tawala!tuna wapinzani kama ccm, nccr na cuf! Hawa wote wanatutafuta lakini tumewabwaga!
 
Hebu nipime busara zao na utu, ok wengi hawajaoa hivyo upeo wao ni kuiba wake za watu tu, hawana hoja za msingi ila ni virugu tu na kuchumia tumbo, kama mtu anashindwa kujieleza atawezaje kuelezea matatizo yako?
 
Back
Top Bottom