Kwa nini CHADEAMA wanabwagwa na CUF kwenye midahalo?

Nafikiri suali zuri lingekuwa: Kwa nini cdm wanabwagwa na cuf kwenye midahalo lakini kwenye uchaguzi halisi cuf wanabwagwa na cdm?
nimefuatilia midahalo mitatu baina ya vyama vyetu vikubwa vya upinzani wakiwemo na ccm muda mwingine, kilichowazi ni kuwa kwa wachambuzi huru wanaona cuf hufanya vizuri kuliko cmd kwenye midahalo yote iliyowahi kufanyika..

Anza na ile wa hr vs mbowe, hr alionyesha umahiri na ukomavu wa kisiasa, wakati mbowe akidhihirisha uchanga na jazba za kishabiki zisizo na maana.

Ukaja mdahalo wa jusa v nape v marando..
Same story jussa aliweza kueleza vizuri falsafa za chama chake, akimuacha mkongwe marando akishindwa kujieleza vema.. Hata magazeti yanayoelemea chadema yalimpa ushindi mkubwa jussa dhidi ya marando..

Juzi madahalo wa wagombea ubunge igunga, mahona wa cuf, kashindye wa cdm na kafumu wa ccm hali ilikuwa kama hivyo. Magazeti yanampa ushindi mgombea wa cuf..

Swali ni kuwa, ikiwa chadema kinachojiita chama makini, cha wasomi tena vijana, mbona hugaragazwa na wale tunaowakejeli kuwa hawakwenda shule na sio makini?
Pili mbona cdm husimamisha watu wazee waliochoka tofauti na image wanayotaka kuijenga juu ya chama chao?
 
kwani cuf ipo against CDM? or Kafu and cdm fightin against Ccm. Hichi chama cha wapemba nahisi ni tawi la alqaeda na kina mulah mohamed omari
jibu hoja we simba usie nameno,kwanini cdm haifurukuti na inagalagazwa na cuf ktk midahalo yote?labda nikusaidie jibu nikuwa cdm hawana uwezo wala uzoefu wa kisiasa,siasa inawenyewe banaa! Wao cdm wamevamia siasa walizani nikama ushabiki wa mpira wa simba nayanga.
 
Ni kweli ktk mdahalo wa Jusa V Marando V Nape, Jusa alifunika, lakini ktk hali ya kushangaza mwandishi hataki kutuambia ukweli kuwa CCM ndio waliofunga mkia na Nape kuonyesha uelewa mdogo zaidi wa ideology ya chama chake kulio wenzake. Sasa mbona hatusherekei ushindi dhidi ya CCM badala yake mwandishi anashangilia kuishinda CDM!!!!!
 
Unaweza kuwa mzuri katika midahalo lakini ukawa huwezi kutenda au kufanya kazi[delivering] kazi unazopaswa kuwatendea wale unaowaongoza,sasa tusifanye uamuzi katika suala moja tu la mdahalo tuangalie na vigezo vingine
 
jibu hoja we simba usie nameno,kwanini cdm haifurukuti na inagalagazwa na cuf ktk midahalo yote?labda nikusaidie jibu nikuwa cdm hawana uwezo wala uzoefu wa kisiasa,siasa inawenyewe banaa! Wao cdm wamevamia siasa walizani nikama ushabiki wa mpira wa simba nayanga.

Kweli siasa si mpira wa simba na yanga ndo mana timu za mipira zina viongozi makini wasioweza kufungisha ndoa timu zao kwa timu nyingne babe kama hichi chama cha wananch wa pemba ambacho kimekosa mvuto kama mumewe maGamba chama kisichojutia damu za wapemba mwaka 2001 kwa kuhongwa umakamu boshen wa pili wa rais. Wala wa Jf msituseme vibaya WAISLAM kwa kusema chama cha waislam hapana ni waislam wafuata mkumbo wasiojua hata lipumbav kama ni dikteta au wanaothubutu kuisafisha matope ccm kwa kuichukia chadema nashndwa kuelewa waislam tunataka nini au tupo upande gani katika hitimisho la siasa hizi za kimafia. Mungu tunusuru sana sisi waislam wako na hivi vyama vya kimafia
 
Ni kweli ktk mdahalo wa Jusa V Marando V Nape, Jusa alifunika, lakini ktk hali ya kushangaza mwandishi hataki kutuambia ukweli kuwa CCM ndio waliofunga mkia na Nape kuonyesha uelewa mdogo zaidi wa ideology ya chama chake kulio wenzake. Sasa mbona hatusherekei ushindi dhidi ya CCM badala yake mwandishi anashangilia kuishinda CDM!!!!!
Ni kweli mkuu, CCM hufanya vibaya. Lakini hakuna anaye claim kuwa CCM wako makini, wasomi, vijana etc. Sana sana munawaita masaburi aka magamba! lakini hao wenye kukejeli wenzao ndio walikuwa lengo langu!
Kwa nini wasomi, wasiokurupuka, vijana makini wanachemka kiasi hiki?
 
Hebu nipime busara zao na utu, ok wengi hawajaoa hivyo upeo wao ni kuiba wake za watu tu, hawana hoja za msingi ila ni virugu tu na kuchumia tumbo, kama mtu anashindwa kujieleza atawezaje kuelezea matatizo yako?

sema we kiazi mimi muhogo nina mizizi
 
Ni kweli mkuu, CCM hufanya vibaya. Lakini hakuna anaye claim kuwa CCM wako makini, wasomi, vijana etc. Sana sana munawaita masaburi aka magamba! lakini hao wenye kukejeli wenzao ndio walikuwa lengo langu!
Kwa nini wasomi, wasiokurupuka, vijana makini wanachemka kiasi hiki?

In that particular debate by any standard hatuwezi kusema Marando alichemka.....much as I salute Jusa, kweli alifunika.
 
Nimefuatilia midahalo mitatu baina ya vyama vyetu vikubwa vya upinzani wakiwemo na CCM muda mwingine, kilichowazi ni kuwa kwa wachambuzi huru wanaona CUF hufanya vizuri kuliko CMD kwenye midahalo yote iliyowahi kufanyika..

Anza na ile wa HR vs Mbowe, HR alionyesha umahiri na ukomavu wa kisiasa, wakati Mbowe akidhihirisha uchanga na jazba za kishabiki zisizo na maana.

Ukaja mdahalo wa Jusa v Nape v Marando..
Same story Jussa aliweza kueleza vizuri falsafa za chama chake, akimuacha mkongwe Marando akishindwa kujieleza vema.. Hata magazeti yanayoelemea CHADEMA yalimpa Ushindi mkubwa Jussa dhidi ya Marando..

Juzi madahalo wa wagombea Ubunge Igunga, Mahona wa CUF, Kashindye wa CDM na Kafumu wa CCM hali ilikuwa kama hivyo. Magazeti yanampa ushindi mgombea wa CUF..

Swali ni kuwa, ikiwa CHADEMA kinachojiita chama makini, cha wasomi tena vijana, mbona hugaragazwa na wale tunaowakejeli kuwa hawakwenda shule na sio makini?
Pili mbona CDM husimamisha watu wazee waliochoka tofauti na image wanayotaka kuijenga juu ya chama chao?

Tatizo la chadema ni mfumo zaidi..mfumo wao wa kupata viongozi uko shumble..lakini hili hawataki kuli-address kwani wanaogopa ku-discuss weakness zao

Tatizo la pili elimu ya viongozi wakuu..ukichunguza elimu ya Mbowe na Slaa ni ya kuunga-unga na iko biased mostly church based hawawezi ku address issue za kisiasa sawasawa kama CUF kina timu ya wasomi wa kisecular waliobobea kwenye siasa na uchumi..

Wanachotakiwa kufanya ni kutafauta msomi mzuri ..na kumuweka Mbowe chini kuchukua nafasi uhamashaji (marketing)..zaidi kuliko management of political party..huyo Slaa arudi tu kanisani yuko bize na chuki zake kwa waislamu

NB: Nasikitika hawatasikii mpaka wapigwe chini mara tatu..japo nafasi yao ilikuwa sasa.
 
Watanzania tunahitaji watendaji wa kuleta maendeleo ya kweli ktk kutatua matatizo mengi tuliyonayo eg. umeme, ajira, elimu, miundombinu,afya, maji n.k. hii midahalo kwa sisi ambao mlo mmoja kwa siku ni tatizo haitusaidii kabisa!


Sema hainisaidii siyo haitusaidii kwani unamsemea nani mwingine? na huo ndio udikteta kwa kutaka kudhani ikiwa ni wewe basi ni ninyi, na utatokaje kwenye mlo mmoja bila midahalo. hii ndio ina shape opinion kwa taarifa yako, wakati wenzio wanaomba umeme usikatwe leo kuanzia saa tatu usiku star tv ili waangalie mdahalo huo wewe unasema haiwasaidii sijui wewe na nani?
 
Back
Top Bottom