Kwa nini CHADEAMA wanabwagwa na CUF kwenye midahalo?

Vijana ni akina ra, el,chiligati na mukama! Hivi successors wa ccm ni akina nani??au washajua kufa kwa chama!!
 
yaan kati ya watu waliokwisha nikera hapa jf we unaongoza. Hv kwann
hujp hata nafas ya utu? Hunatofaut na wenzio wajinga, wapumbavu na wapungufu wa akili unaokuta wamejitupia mtisheti uloandkwa "mi mzungu" wakat hana muunganiko hata wa mbal na anaemsifia.
Kwann hupend kuish wewe? Utakuwa mtumwa hadi wa fikra mpaka lini?
Badilika ndugu yangu
 
Nimefuatilia midahalo mitatu baina ya vyama vyetu vikubwa vya upinzani wakiwemo na CCM muda mwingine, kilichowazi ni kuwa kwa wachambuzi huru wanaona CUF hufanya vizuri kuliko CMD kwenye midahalo yote iliyowahi kufanyika..

Anza na ile wa HR vs Mbowe, HR alionyesha umahiri na ukomavu wa kisiasa, wakati Mbowe akidhihirisha uchanga na jazba za kishabiki zisizo na maana.

Ukaja mdahalo wa Jusa v Nape v Marando..
Same story Jussa aliweza kueleza vizuri falsafa za chama chake, akimuacha mkongwe Marando akishindwa kujieleza vema.. Hata magazeti yanayoelemea CHADEMA yalimpa Ushindi mkubwa Jussa dhidi ya Marando..

Juzi madahalo wa wagombea Ubunge Igunga, Mahona wa CUF, Kashindye wa CDM na Kafumu wa CCM hali ilikuwa kama hivyo. Magazeti yanampa ushindi mgombea wa CUF..

Swali ni kuwa, ikiwa CHADEMA kinachojiita chama makini, cha wasomi tena vijana, mbona hugaragazwa na wale tunaowakejeli kuwa hawakwenda shule na sio makini?
Pili mbona CDM husimamisha watu wazee waliochoka tofauti na image wanayotaka kuijenga juu ya chama chao?
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Mbona una-base sana kwenye magazeti? Najua fika ukiambiwa utaje hayo magazeti yanayotoa Ushindi kwa CUF Utakuja hv..UHURU, HABARI LEO,MZALENDO, etc kuna style mpya CCM Wamekuja nayo ya kuitukuza CUF. Kwenye ufalme wenu wa kuiba kura msimsahau yule wa UPDP ambaye Bosi wake alijitoa mwaka jana kwenye uchaguzi huku akishauri kura zake wapewe magamba.
 
Mkubwa suala limefika mahala pake ila sijui wewe unaonaje hili suala na kama CDM ingekua ya vijana peke yao sijui kama tutafika kwani
hamna taifa ambalo lina vijana peke yao.
hujanielewa nakukumbusha tu kwamba mwenyekiti wenu ana tabia ya kukimbia midahalo kwa nini? hawezi kujenga na kutetea hoja zake?
 
Mbona huongelei mdahalo wa Kikwete, Lipumba na DR.Slaa?
Huyu ni mtu makini hawezi kuzungumzia kitu kilichowazi kabisa kwa kila mtu, Kikwete pia namheshimu sana kwa kuelewa situation mapema, na ndiyo maana akamtuma Kinana aseme akina Slaa siyo saizi yake, wee unategemea nini kumuingiza kilaza katikati ya PHD mbili? unategemea atazungumza nini? Kikwete ungemuweka na wazee wa Dar es Salaam kweli hapo anaweza kuwa na cha kuongea.
 
Wengine hatujauona huo mdahalo. Let's however assume mtoa mada (naona pia ametoa verdict) yu sahihi.

Lowassa, Mkapa, nk......hawa ni miongoni mwa wajenga hoja wazuri sana waliowahi kutokea. See what have they got us into..

We need a blend of these attributes......uadilifu, kazi kwa vitendo, uzalendo, uaminifu, truthfullness....you name it
Uwezo wa kujenga hoja sawa, lakini it should be taken in isolation kwani mara nyingi uwezo huu umekuwa ukitumika vibaya (kudanganya, kutapeli, kufisadi, sijui niseme nini zaidi)
 
kwani cuf ipo against CDM? or Kafu and cdm fightin against Ccm. Hichi chama cha wapemba nahisi ni tawi la alqaeda na kina mulah mohamed omari
 
Watanzania tunahitaji watendaji wa kuleta maendeleo ya kweli ktk kutatua matatizo mengi tuliyonayo eg. umeme, ajira, elimu, miundombinu,afya, maji n.k. hii midahalo kwa sisi ambao mlo mmoja kwa siku ni tatizo haitusaidii kabisa!
 
Sisi tunaitaji watendaji na si wachapa midomo
Hao CUF waliunga mkono uwepo wa posho , Maalim Seif hajatoa cheche yeyote kwenye Spice islander isssue
 
Sisi tunaitaji watendaji na si wachapa midomo
Hao CUF waliunga mkono uwepo wa posho , Maalim Seif hajatoa cheche yeyote kwenye Spice islander isssue
Tusijaribu ku-divert issue, swali kwanini wabwagwe kila siku? Je ni vilaza ingawa "tunawapenda"? Je, kupenda vilaza si hatari kwa taifa?
 
Tusijaribu ku-divert issue, swali kwanini wabwagwe kila siku? Je ni vilaza ingawa "tunawapenda"? Je, kupenda vilaza si hatari kwa taifa?
Hii Approach yako kaka si ya kitaalam, kuna watu ambao ni wataalam kuongea mbele ya watu na wengine sio lakini kwa utendaji inaweza ikawa tofauti kabisa. Unaweza kumuona kwa kiasi fulani A L Mrema na ccm yote ya kipindi chake,
-Watu mara nyingi kwenye midahalo wanakuwa wanafanya ujuzi wa kuongea/maneno mengi lakini kwa hili mimi nimeliona kwa chadema wanaliepuka sana ndio maana:-
-waliteua baraza la watu wachache kwenye wizara vivuli
-kufukuza madiwani wala rushwa
-kukataa posho kwa wengi wao.

Kafu leo hii wanaongelea mambo yao neutral neutral kwa sababu misingi mingi (haki sawa, kukemea rushwa n.k) wameshamezwa nayo kupitia ccm mla rushwa [they failed to fight them,thus they joined them]
 
Back
Top Bottom